Dama Langu

Ninatuma huu ujumbe ndani mwa wimbo BABE;
Ili UPATE
Na zile cheche za matusi alizo nimimina nazo;
Mwambie, nimeshapona
Kwa mawazo yangu, nilikungojea, daily;
Sinyora, nikuite nini wewe
1, 2 I miss you too
Ulipotoka nilikonda
And 3,4, stick by me
Rudi nyumbani nakukunda

OMBI LANGU
I'd rather live with your bad side
Than to read about your good side
MWAMBIE
Mie wake, Ye ni wangu mama

Umeniwahi kwa pupa
Sitaki tena machupa
Umenishika na dumba
Mmmmmh
Waniuliza, 'mekuchaguakwani?
Can I really, really love you in the right way
Sipendi tena tukipitana kwa highway
Baby take my hand
Lemme be your man
Maybe, ni siri kuwa wako tena
Tell me, nipate kuwa wako Bwana
Eeeeeeeh bora uhai, ya Elohim

1, 2 I miss you too
Ulipotoka nilikonda
And 3,4, stick by me
Rudi nyumbani nakukunda

OMBI LANGU
I'd rather live with your bad side
Than to read about your good side
MWAMBIE
Mie wake, Ye ni wangu mama



Credits
Writer(s): Don Santo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link