Njia Panda
Mmmh sii unanitaaa
Nikawahi kwangu wangu sinyoritaa ili usiniache nikalia lia aah
Ndio ndio nilikuitaaa siku ya miadi wewe hukufikaa
Vipi unidanganyee nikaumia umia aaah
Mbona mbona nilifika nikakuta hamja nikazunikaa
Kwanini unidanganye niliumia umiaa
Mbonaa na miminilifika nikakuta tupu nikahuzunikaa
Vipi unidanganyee nikaumia umia
Muongo wewe ulipitaa kwa wenye fedhaa wakakuwezeshaaa
Mii ukanidharauu, ukanisahauu ukaniachaa
Hapana bwana mi nilifikaaa labda tulipishaanaa
We ukenda kulia nami kushoto ndio tulipo kosanaaa
Oooh marianaa umeniacha njianiii tena
njia panda mpaka kiza dada kilitanda,
Nooo my baby boy, sikukuacha njianii,
wewe ndo uliniachaa mpaka sasa mi natapa tapaa
Unaniudhi unavyo bisha, wakati we ndo mwenye makosa aah,
Kwa nini unidanganye niliumia umia
Tufanye wewe ndio umeshindaaah naomba acha zako
hizo tila lingaaa, naomba panga upya siku na masa,
Na usiseeme tuu yamekwishaaa kwanza kubali kuwa umekosaa
Na sio nipange mimi upange wee mwenyeewee
Hayaa basi yameishaa, nitapanga upya saa na dakikaa,
Ili usiniache nitalia lia aa
Muongo we hutofika siku hiyo ikifikaaa
Nahisi ahadi utavunjaa moyo utaniumaa nitazidi liaa
Hapana mi nitafika aah sikiu ikiwadiaa
Wala sito chelewa, sitokawia hautalia lia aaah
Aaah marina umeniacha njiani tena njia panda mpaka kiza dada kilitanda
Noo my baby boy, sikukuacha njianii wewe ndo uliniachaa
Mpaka sasa mi natapatapaa,
Nooh usije umiza mtima siku ikifikaa
, usije fanya tenaa visa vyako mamaa
Nooh sitoumiza mtimaa,
siku hiyo ikifikaa hautaumia,sitaumia, hautaliaa
Nooh usije umiza mtima siku iifikaa, nitaumia,nitaumia nitalia
Aaah mariana umeniacha njiani tena
njia panda, mpaka kiza dada kilitandaa
Nooh my baby boy, sikuakuacha njiani,
wewe ndo uliniacha mpaka sana mi natapatapa.
End

Credits
Writer(s): Barnaba Barnaba
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.