Wamlambez

Wamlambez
wamnyonyez
Wamlambez
wamnyonyez
Wamloleez... eeeehh
Miracle baby me huspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka ni dem me hupin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Aki home nashikisha na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Zikishika ninadrive na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka huamini enda uulize boroyeng
(Mmmh ha na boroyeng)
Anajua me huspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Wamlambez
wamnyonyez
Wamlambez
wamnyonyez
Wamloleez...
eeeehh
Hii ni ya madem wenye wanapenda chuma
Maboy fiti wanapendaga kulima
Dem akipita 'mmmh hmm' wanaguruma Akijipa wanapiga bila huruma
Miracle baby zimenice nachachisha Nashika jaba juu doh zimejaa
bahasha Tuko na Ruth siz ya Caro na
Natasha Zikirunda wanaaza kutetemesha Wamlambez
wamnyonyez
Wamlambez
wamnyonyez
Wamloleez... eeeehh
Shalkido anaspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka ni dem anaspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka ki-home anashikisha na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Zikishika anadrive na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka huamini enda uulize boroyeng
(Mmmh ha na boroyeng)
Anajua ye huspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)

Usiworry nimefintika Kulikuwa na kajam
fulani but tumekapita Pewa tot ziku-nice twende dance floor Na juu
kaduka umefunga nipe thutha yoh Kising'aing'a toka chini hiki kyangu
kimesee Nipe sita mbili mbili wamnyonyez nikupee Ukibleki naanza
kukuguza unafurahi Nakudema dema nikushike ufeel ukiwa high Shalkido
kwenye mike nazitema nikiwa floor Ikiwabamba mnipe nduru
niwashow nikiflow
Niwashow nikoflow
Niwashow nikoflow
Wamlambez
wamnyonyez
Wamlambez
wamnyonyez
Wamloleez... eeeehh
Masilver ye huspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka ni dem anaspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka ki-home anashikisha na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Zikishika anadrive na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka huamini enda uulize boroyeng
(Mmmh ha na boroyeng)
Anajua ye huspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Diang'ara, diang'ara, diang'ara
Si ni wale wadiang'ara
Ate?
Diang'ara, diang'ara, diang'ara
Si ni wale wadiang'ara
Your gang shaghala baghala
Ukipeep
nakutoa kafara
Masilver me huhit wamlambez
Masilver niu huhit wamnyonyez Ukianika naanua wamlambe
Ukianika naanua wamnyonye...
Masilver!
Ukianika naanua wamnyonye...
Wamlambez
wamnyonyez
Wamlambez
wamnyonyez
Wamloleez... eeeehh
Lexxy Yung ye huspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka ni dem anaspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka ki-home anashikisha na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Zikishika anadrive na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Ka huamini enda uulize boroyeng
(Mmmh ha na boroyeng)
Anajua ye huspin na mayeng
(Mmmh ha na mayeng)
Okey,
you know me Am this kid on a bigger vision On a bigger mission Chapa
gym, kata weight Pewa liquour no more wait Cheers to the faith Am too
hot nikimfake Wamelamba lolo, nikawasha kolo Nikatema lolo,
wakabaki solo Nimepiga kuni, ikapiga nduru Ninakemba Henny,
wanakemba nduru Macho ziko rada, nigga ni wasoro Nimecheki rada,
wote ni mavako Ah siko vako,
tumetetemesha wote wakatema Twanga twanga hadi ikalia,
hadi ikatema Buda amezima ndani ya kisima I can hit so dry You can
call me mr ride Down and up, I can pick it up Baby drop,
pick them off Wanna see you on your birth suit You know you're sweet
Like the way your mama cook Keep your hands to yourself Never dare
touch my siz Nigga I can pop you off
Nigga I can pop you off
Hahaha timemaraks...



Credits
Writer(s): Peter Mwangi, Alexander Ikuro, David Igogo, Paul Koigi, Dennis Njoroge
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link