Sitabaki Kama Nilivyo

Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, u karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai

Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo

Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo
Najua nitapita tu

Sitamani ya wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite

Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
Sitabaki kama nilivyo (hali hii ni ya muda)
Sitabaki kama nilivyo (hali hii hapa napita tu)

(Kweli ninavuka)
Sitabaki kama nilivyo (kuna mahali ninakwenda)
(Eeeh sitabaki kama...)
Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (nilivyo)

Mtetezi wangu yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)

Eeeh mtetezi wangu yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)

Hey mtetezi wangu yu hai (yu hai)
Anaishi (yu hai)
Yu hai (yu hai)

Sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
Mtetezi wangu yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)

Hey mtetezi wangu yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)

Kweli mtetezi wangu yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Sitabaki kama nilivyo (nilivyo)

Sitabaki kama nilivyo (kweli nitashinda tu)
Sitabaki kama nilivyo (siumii na hali hii)
(Nafurahishwa na ile ijayo)
Sitabaki kama nilivyo (hey kama, sitabaki hivi)
Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)

Sitabaki kama nilivyo (giza huwa nene alfajiri)
Sitabaki kama nilivyo (asubuhi yangu yaja)
Sitabaki kama nilivyo (kweli nitainuka tu)
Sitabaki kama nilivyo (bwana yuko nami nilivyo)



Credits
Writer(s): Joel Lwaga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link