Saula
Ai...
Aya ahee
Kondeboy
Mwenzako jicho chongo kwa mwingine sioni tena
Umenipa magongo nitembee niache kuchechema
Tujiepushe na waongo hawakosagi cha kusema
Ulinzi nguzo chuma dongo, penzi tuezeke na mahema
Penzi langu la kizigua nakupa taratibu (ah eh)
Na miuno nainengua washikwe na aibu
Nadhani hawajajua ee ndio unaniharibu (ah eh)
Na mwaka huu mbona wataugua, wakose wakuwatibu
We eti nipe mambo ya pwani, eti mwenzako na nenge
Kanga moja begani uno, ulifunge tenge (weh!)
Mguu bara mguu pwani kama unaruka senyenge
We nibinyie kwa ndani nitoke malenge lenge
(Saula) Mambo uyaweke hadharani
(Saula) Kwani unamwogopa nani
(Saula) Uyaweke hadharani
(Mwali saula) Eh kwani unamwogopa nani
(Saula) Kondeboy!
Kama karata umelamba dume wengine galasa bado (saula)
Tikitaka kinyume nyume mashuti kama Ronaldo (saula)
Kaona jiti kasaula kajitupa kwa kiwanja
Kibichi bichi ka Paula wa Kajala Masanja eh, eh eh eh!
We nipe nisivyopewa hadi nihisi raha ya Dunia
Nigande mwenye ngekewa mafisi wakininunia
Nipost usiogope, sa unifiche Mobeto (ah eh eh)
Tena mashost na waropokwe tujichimbie mageto (ah eh eh)
We eti nipe mambo ya pwani, eti mwenzako na nenge
Kanga moja begani uno, ulifunge tenge (weh!)
Siku ya kufa nyani, kinyozi kakosa wembe
Kule Mtwara nyumbani tunaitaga singenge
(Saula) Mambo uyaweke hadharani
(Saula) Kwani unamwogopa nani
(Saula) Uyaweke hadharani
(Mwali saula) Eh kwani unamwogopa nani
(Saula)
Laizer on the mix
Ah kibinda (ah kibinda koi e), eh (kibindakoi)
Fanya kujipindapinda (ah kibinda koi e), eh (kibindakoi)
Cheza ukiringa ringa (ah kibinda koi e), eh (kibondakoi)
Zungusha nyonga madoido (ah kibinda koi e), kakupa mama (kibindakoi)
Uno la Kofi Olomide (ah kibinda koi e), pingua bandama (kibindakoi)
Hi hi hi hi
It's Lava again
Ah kondeboy

Credits
Writer(s): Rajabu Ibrahim, Rajabu Salehe, Isabdul Idd
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.