Mungu Ajibu Maombi

Unapoomba nitaje jina
Omba Mungu anikumbuke
Ni myonge mimi sina uwezo
Kwa maombi tapata nguvu
Unapoomba nitaje jina
Omba Mungu anikumbuke
Ni myonge mimi sina uwezo
Kwa maombi tapata nguvu
Unapoomba omba kwa imani
Maombi atayasikia
Unapoomba uwe mnyenyekevu
Maombi ata ya jibu
Kulala kwetu
Kuamka kwetu
Kuishi kwetu
Ni neema
Tumaini letu ni kwako Bwana
Abudu
Ungama
Shukuru kwa dua zetu
Tumaini letu ni kwake Bwana
Unapoomba omba kwa imani
Maombi atayasikia
Unapoomba uwe mnyenyekevu
Maombi ata ya jibu
Mungu ajibu maombi
Maombi maombi
Mungu ajibu maombi
Maombi ya watu wake
Uliza (uliza)
Amini (Amini)
Pokea (Pokea)
Shukuru(Shukuru)
Lingana ahadi zake
Ombi lako litajibiwa
Uliza (uliza)
Amini (Amini)
Pokea (Pokea)
Shukuru(Shukuru)
Lingana ahadi zake
Ombi lako litajibiwa
Mungu ajibu maombi
Maombi maombi
Mungu ajibu maombi
Maombi ya watu wake
Unapoomba omba kwa imani
Maombi atayasikia
Unapoomba uwe mnyenyekevu
Maombi ata ya jibu
Atayajibu



Credits
Writer(s): Collins Odiwuor
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link