Hatuachani

Oooh aaah
Aaah...

Achana na hao manyambafu, wasikupande kichwani
Midomo yao michafu, isikunyime amani
We nipende kama sarafu, unifiche kwapani
Na unigande siafu, hata tukiwa njiani
Hawapendi kuona penzi linafika mbali
Udi wanachoma, usiku wala hawalali
Wanakesha kwa sangoma, penzi walitie misumari
Wasikupee homa, mambo yatakuwa ng'aring'ari

Eeeh
Naomba zifikisheni habari
Kwa Rikadomomo
Kurukushani za Mondi na Zari
Zimenipa somo

(Hatuachani, hatuachani)
(Hatuachani), mimi naye darling
(Hatuachani), tunalicheza rhumba
(Hatuachani), mimi naye darling
(Hatuachani), tunalisakata rhumba
(Hatuachani), mimi naye darling
(Hatuachani), tunalicheza rhumba
(Hatuachani), mimi naye darling
(Hatuachani), tunalisakata rhumba

Wala usijaribu
Kuwapa nafasi wafukunyuku
Watakutia aibu
Zao kubwabwaja kama kasuku
Kujifanya wataratibu
Hawana lolote mazumbukuku
Wana maswahibu, waongo
Hata mwezi mtukufu
Tusile tembele
Kisamvu kwa nyama
Wataona gere
Na kutusakama
Vibwabwa jengere
Na vikuku vya ngama
Watapiga ndele
Vipate kutukwama
Wao wapae na ungo sisi hatujali
Yatawakereketa wavimbe matumbo
Hatuna habari eeh
Wao wapae na ungo sisi hatujali
Yatawakereketa wavimbe matumbo
Hatuna habari

Eeeh
Naomba zifikisheni habari
Kwa Rikadomomo
Kurukushani za Mondi na Zari
Zimenipa somo

(Hatuachani, hatuachani)
(Hatuachani), mimi naye darling
(Hatuachani), tunalicheza rhumba
(Hatuachani), mimi naye darling
(Hatuachani), tunalisakata rhumba
(Hatuachani), mimi naye darling
(Hatuachani), tunalicheza rhumba
(Hatuachani), mimi naye darling
(Hatuachani), tunalisakata rhumba

Agah
Rhumba mama rhumba
Tulicheze rhumba
Rhumba mama rhumba
Tulicheze rhumba
Rhumba mama rhumba
Tulisakate rhumba
Rhumba mama rhumba
Tulicheze rhumba

Agah
Tulicheze (rhumba)
Tulisakate (rhumba)
Tulicheze (rhumba)
Tulisakate (rhumba)
Apo
Apo



Credits
Writer(s): Lava Lava
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link