Tetema - Remix

Miss whole world, Miami
This is history in the making
Cuba, Rayvanny
Yeah you ever know
We taking this one international

From Africa to the world, Mohombi
Diamond Platnumz, Pitbull, Jeon

Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Its s2kizzy beiby

Oooh, Carribean girl oh mama tetema

Katoto Kamenoga (ooh mama)
Nakapa ndizi za Bukoba (ooh mama)
Nakapadisha bodaboda (ooh mama)
Kakichoka kuchuma mboga (ooh mama)

Aaai mama shigidi aah
Nakufa hooi wikidi aah
Aaai mama shigidi konki
Fire, motoo, liquidi

Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

I love, I love the way that she move
I love the way in mini-skirt and her boots
If you go to Africa we give them roots
So me am like nigga give me the loose

She whinning whinning
Whine like she should
She so classic but she so good
I pull her hair and whisper in her ear

(Mummy toss am real)

Aaai mama shigidi aah
Nakufa hooi wikidi aah
Aaai mama shigidi konki
Fire, motoo, liquidi

Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Tetema!
Yaani kama vile generator (tetema)
Kama mwizi kakupiga ngeta (tetema)
Mwendo wa kutunga kupepeta (tetema)
Chini nikipuliza tarumbeta

Asa wooza! Wooza! Cheza shogoloza
Kufa chali kama mende
Maria Roza poza tungi limepoza
Twende nikupige nyembe (br ... Okey)

You make my mind go kolo(kolooo ... kolo)
Ukinuna you mie toro (dorooo ... doro)

Washa! Saa nipe za digi digi
Washa! Miuno ya Gigy Gigy
Washa! Funga kibindo mgwiji mgwiji
Washa! Nikunyonge ka zigi zigi

Teeete! (ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Tipwa tipwa tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Ayo Lizzer, Chii
Kichaa kime-kime-kimempata
Ame wehuka kime-kimempata
Kapandisha mizuka kime-kimempata
Ona ana ruka ruka kime-kimempata

Kichaa kime-kime-kimempata
Kapanda kimempata kimempata
Eti anavua shati kime-kimempata
ka-ya kime-
kimempata

Waasafii



Credits
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Raymond Shaban Mwakyusa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link