Kemosabe
We fall horse, Kemosabe, Kemosa
Why did you call me that? What that mean?
Long brother
(Kemosabe, Kemosabe)
(We've got love)
(We've got love)
Niliamini mapene hayatoshi na niki-hustle siyakosi
Sababu sipo kwenye loss na life simple huwa hai-cost
Kwahivyo nikaenda Dar na treni of thoughts
Sikwenda kuzubaa au kushangaa nikusaka chapaa boss
Sikutaka kuivaa mikosi, nilitaka kuivaa mikoti
Sikuwa na passport, password, pin; lakini nika crack codes
Walionisapoti wote siwaoni kwa line
Wakini-approach ili nifungue pochi ya noti tu-shine, hatuko fine
Je mimi ni kaka mubaya? Kaka as'o haya?
Kaka huniitaga Nakaaya
Mama C huniita brother bila shaka Mozaya
Niko sick and tired of being sick and tired
Na huu ni mwaka wa ndui
Sitaki upele urudi tena, mnachotaka sikijui
Nashukuru hamtopata mbawa ikiwa mtaupata huo uchui
Mnautaka uadui? Mnayempaka ni mtata, makaka hamkui?
Mmeendekeza hila, legeza hasira za harakati
Mi' nita-ball hata kwa mpira wa makaratasi
Unaweza ukahisi mie napita tu, kwakusahau mie nina-hustle
Nimezaliwa Afrika ugumu wa maisha umenifunza ku-struggle
Ukiwa idle unamu-attract shaytwan
Kichwani nina Msahafu na Bible, life ni zaidi ya ku-have fun
Kwani, kila kicheche anajiona ni mzima
Na njia pekee ya kuepuka ngoma ni kugoma kupima
Ikiwa maujuzi haya hayakugusi, itanilazimu nikuelewe
Sometimes hata kamusi hui-miss tafsiri yenyewe
Nalindwa na dua za mama tangu, baba simjui
Namfanya adui mwenye njama aache drama na akue
Ili ajijue kabla hajakwama huko mrama asitue
Ajikwamue kwenye lawama yenye maana yamchukue
Kisha anaiombee mimi ili nifaidike kwa hizi mbio
Siamini kwenye umasikini hivyo sihofii mafanikio
Ndiyo, mie ni Leo kwahiyo sifikirii kushindwa
Zingatia kauli hiyo hausikii inaashiria ubingwa?
Mi' ni mbishi muulize Nikki hatopinga
Na hata kama ningekua mbuzi ningelala chaka la simba

Credits
Writer(s): Fareed Kubanda
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.