Danger
I am looking, she is looking
I love the way she work it
She is grinding, I am grinding
I love the way she twerk it
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Groupies wapo tena lukuki
Wapo cute zaidi yako unaweza sema mi mzushi
Laini kama sufi ngozi yako, maufundi yako
Sina budi kuja kwako mwenzako nakuomba urudi
Sijala tangu juzi
Siwezi lala bila movie
Kama Fala umeni confuse
Mie wala hata sina chuki
Suti hizo hapo kama ni harusi ndo unataka
Haujuti mie ni Rapper hapa Napata saluti
They shoot (paah)
I made you look
Sio love letter ni love song kwenye rhyme book
Fid Q sio mtu wa juu kwa juu
As you see I can't leave so I do love you
I am looking, she is looking
I love the way she work it
She is grinding, I am grinding
I love the way she twerk it
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
I see it in your eyes that you are the freaky type
Looking at the way your body moves
Got me in the corner of avenue
And now am thinking you some maybe suit
Got me in the corner grinding too
I do, I do, I do, I do the way that you move
Kama za chinese chiwawa hizo kucha
Upo sawa mzuka mama
Umenivuta sana nimepagawa nitakupa flowers
Napenda jinsi we binti ulivyo mtulivu, msikivu
Sio Mvivu, mzabibu
Nikinge bandidu nisife kwa wivu
Hakuna nitakachoguna
Sana itaniuma ukinuna
Nitajituma mi msukuma
Kunichuna mama sio ishu
Upo sweet zaidi ya ndizi za kiabakali
Zaidi ya sukari, zaidi ya asali
We una figure flani kali
I am looking, she is looking
I love the way she work it
She is grinding, I am grinding
I love the way she twerk it
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Mkulima akimeza mbegu
Jembe halikosi mwenyewe
Nahisi niliumbwa ili unipende
Yaani sio lazima unielewe
Naweza toa lakini mimi nisipewe
Mimi naweza taka kuoa kwenu wakakataa usiolewe
Haujali kulala ghetto au kuzishampoo hizi rasta
Kama dancer wa Loketto juu ya Fid Q unavyokata
Upo na mimi, chill, usilete usumbufu
Wasikutishe kwa vimini
Tayari ushanivisha vicheche proof
Ulivyonitega ili kuonyesha hisia zako
Nitakupenda zaidi ya unavyojipenda zaidi ya mbwa wako
Nasinzia nikikuwaza japo we sio Wahu
Nakufikiria fasta moyo unakimbia ka Babuu
Nasikia siku hizi mapenzi hayaendi bila Cash?
Hata kama ukimpenda mtu kama hana kitu usimuonyeshe
Na wenye nazo hawajatulia
Wanawakatia mikwanja, wanawatumia
Wanawaacha, wanawakimbia
I am looking, she is looking
I love the way she work it
She is grinding, I am grinding
I love the way she twerk it
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
I love the way she work it
She is grinding, I am grinding
I love the way she twerk it
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Groupies wapo tena lukuki
Wapo cute zaidi yako unaweza sema mi mzushi
Laini kama sufi ngozi yako, maufundi yako
Sina budi kuja kwako mwenzako nakuomba urudi
Sijala tangu juzi
Siwezi lala bila movie
Kama Fala umeni confuse
Mie wala hata sina chuki
Suti hizo hapo kama ni harusi ndo unataka
Haujuti mie ni Rapper hapa Napata saluti
They shoot (paah)
I made you look
Sio love letter ni love song kwenye rhyme book
Fid Q sio mtu wa juu kwa juu
As you see I can't leave so I do love you
I am looking, she is looking
I love the way she work it
She is grinding, I am grinding
I love the way she twerk it
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
I see it in your eyes that you are the freaky type
Looking at the way your body moves
Got me in the corner of avenue
And now am thinking you some maybe suit
Got me in the corner grinding too
I do, I do, I do, I do the way that you move
Kama za chinese chiwawa hizo kucha
Upo sawa mzuka mama
Umenivuta sana nimepagawa nitakupa flowers
Napenda jinsi we binti ulivyo mtulivu, msikivu
Sio Mvivu, mzabibu
Nikinge bandidu nisife kwa wivu
Hakuna nitakachoguna
Sana itaniuma ukinuna
Nitajituma mi msukuma
Kunichuna mama sio ishu
Upo sweet zaidi ya ndizi za kiabakali
Zaidi ya sukari, zaidi ya asali
We una figure flani kali
I am looking, she is looking
I love the way she work it
She is grinding, I am grinding
I love the way she twerk it
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Mkulima akimeza mbegu
Jembe halikosi mwenyewe
Nahisi niliumbwa ili unipende
Yaani sio lazima unielewe
Naweza toa lakini mimi nisipewe
Mimi naweza taka kuoa kwenu wakakataa usiolewe
Haujali kulala ghetto au kuzishampoo hizi rasta
Kama dancer wa Loketto juu ya Fid Q unavyokata
Upo na mimi, chill, usilete usumbufu
Wasikutishe kwa vimini
Tayari ushanivisha vicheche proof
Ulivyonitega ili kuonyesha hisia zako
Nitakupenda zaidi ya unavyojipenda zaidi ya mbwa wako
Nasinzia nikikuwaza japo we sio Wahu
Nakufikiria fasta moyo unakimbia ka Babuu
Nasikia siku hizi mapenzi hayaendi bila Cash?
Hata kama ukimpenda mtu kama hana kitu usimuonyeshe
Na wenye nazo hawajatulia
Wanawakatia mikwanja, wanawatumia
Wanawaacha, wanawakimbia
I am looking, she is looking
I love the way she work it
She is grinding, I am grinding
I love the way she twerk it
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Danger (hatari hatari)
Credits
Writer(s): Fareed Kubanda
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.