Shilingi (feat. Reekado Banks)

Shilingi ya ng'ara ng'ara
Shilingi ya ng'ara ng'ara

Naapa kwa Bibilia
Nashika na masafu
Naapa mbingu dunia

Funika kibakuli
Funua moyo wa furaha
Sura za mafedhuli
Nyeusi fi, zimewafura

Wasome kwa Zaburi, Wagalatia
Hawashindi kudura
Hili penzi tanuri, wakivamia
Litawavula

Anikuna nazi
Mi nikamue tui
Tule wali mbaazi
Yetu mapocho pocho

Sasa tuanze kazi
Usiku kwa asubuhi
Wali tumwage radhi
Mambo ya soko soko

Penzi sarafu lina pande mbili
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Mwenge wewe, bichwa mie
Shilingi ya ng'ara ng'ara

Vidole juu tuwaringishie
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Doli doli za mbwela
Shilingi ya ng'ara ng'ara

Why you dey my side, nobody dey ooh
Girl you dey, nobody dey ooh
Take over my whole space
Rocking my white shirt eeh

Ooh dance yah shatte
Anything for you I shake
Sometimes your body might be too lazy
But when you call me I go visit

Mmmh ah my toto de waje
Shake your waje
Sometimes [?] might be too low
Thats why you call me I go still show

My love faboulous
You go pay me a tonne(tonne)
Cause I love you(Love you)
And I want to give you all my love

Still I have you
J'lo, tell me you love me
Tell me you love me(love me)
Ooooh ooh...

Penzi sarafu lina pande mbili
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Mwenge wewe, bichwa mie
Shilingi ya ng'ara ng'ara

Kidole juu tuwaringishie
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Doli doli za mbwela



Credits
Writer(s): Sheila Shorongo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link