Bugana

Aha, chupa ilionekana chai au sio Chupa ilionekana chai
Its S2kizzy beiby) Billnas
Billnas Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya baba mzazi
Si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana Naiwe yangu
Naiwe yangu, naiwe bugana
Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya
Mama mzazi, si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana

Unyonge tai Alafu mfukoni mambo mbaya Hawatudai yeah
Yeah yeah Hata wavujishe picha mbaya
Wakuite babu Nami waniite bibi
Watujukuu Ooh yeah
Washike adabu Washindwe na walegee
Eeh Unanisitiri Yaani hutaki niumbuke
Aaaah) Wawili tu chumbani Ardhi ipasuke
Aaaah) Ukiweza nichune kaka Pahali ambapo mi nina bugana Ukiweza
Nichune kaka Pahali ambapo mi nina bugana Unanipa taabu ya kufanya
Nielewe Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe Naiwe yangu
Naiwe yangu, naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu

Naiwe bugana Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya mama mzazi
Si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana Naiwe yangu
Naiwe yangu, naiwe bugana Tupo low key na tuna kiss kwenye dinga Vile
Tuna ball sema 'ooh tunavimba' Kuku approach ilikuwa hard ka nawinda
Hadi nikawa naimba zile ahadi ukawa unavimba Leo bugana limerudi kwao
Tuko na shida zetu wala sio za kwao Husband material ikikubao
Imeshafika posa bado tu vikao Na hata iweje
Hata iweje Mimi ni wako tu Na hata iweje
Hata iweje Nitabaki kwako tu Kama ni Gucci, Dolce & Gabana
(Aaaah) Hata mi, naweza kupambana
Aaaah) Kama ni pesa wanasaka ile sana
Aaaah) Sana mama, sana sana Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya
Baba mzazi, si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu

Naiwe bugana Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya mama mzazi
Si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana Naiwe yangu
Naiwe yangu, naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu
Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu, naiwe bugana

(Laizer on the Mix) Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa Nahisi naibiwa na
Nguvu naishiwa Nahisi naibiwa na nguvu
Naishiwa Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa



Credits
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, William Nicholaus Lyimo, Faustina Charles Mfinanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link