Mungu Baba

Lord my papa eeh eh
Dem call me Arrow boy

Mungu baba, kijana wako tena
Ni mimi huyu mbele zako
Nina mambo mengi ya kusema
Aaah

Ooh Mungu baba
Ni mtoto wako tena...
Aah
Ni mimi huyu mbele zako
Nina mambo mengi ya kusema

Ila naanza na shukurani (Shukurani)
Vile umenijenga na mambo fulani
(Aaah)
Baraka tele (tele)
Umenijazia sahani eeeh

Thank you Lord for ma family
Thank you for beautiful fans
I pray they will never seek calamity
No no no eeeh

Am so thankful, thankful...
Eeeh
Am so greatful, greatful
Am so thankful, thankful...
Yeah yeaah
Am so grateful, am so grateful yeah

Kila kitu naomba unanipa
Kisha nikutoke (aje)
Umenijenga kwa hali na mali
Kesho nijichoche (aje)
Aah.nimeomba ukanipa
Kesho nikutoke(aje)
Umenijenga kwa afya na mali
Kesho nikutoke eeeh (aje)
Nikutoke aje eeehh
Nikutoke aje

Mi si mtakatifu
Everyday am a sinner...
Aaah yeah
Kwa neema na faadhili zako
Ukanipa uzima...
Eeh
Kwa maovu ninayo tenda

Still you make me a winner
Yeeeah
A winner(A winner a winner)
Nikumbushe nisisahau,
Nikumbushe nisisahau...
Yea yeah
Acha nikupe shukurani,
Mimi nikupe shukurani eeehh

Kila kitu naomba unanipa
Kisha nikutoke(aje)
Umenijenga kwa hali na mali
Kesho nijichoche (nijichoche aje)
Nimeomba ukanipa
Kesho nikutoke(aje)
Umenijenga kwa afya na mali,
Kesho nikutoke eeeh (aje)
Nikutoke aje Eeehh (eeeeh)
Nikutoke aje

Kila kitu naomba unanipa
Kisha nikutoke(aje)
Umenijenga kwa hali na mali
Kesho nijichoche (aje)
Nimeomba ukanipa
Kesho nikutoke(aje)
Umenijenga kwa afya na mali,
Kesho nikutoke eeeh (aje)
Nikutoke aje Eeehh (eeeeh)
Nikutoke aje



Credits
Writer(s): Ali Yusuf
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link