Juju
Haha sio mapenzi ni juju
Sio mapenzi ni juju
Haya sio mapenzi ni juju(Juju)
Angekuwa wimbo DJ angeurudia
Kila mmoja angecheza
Utamani kuimba na kuitikia
Kama kinywaji unaongeza
Rangi yake mavazi na shepu
Katikati ya mfupi na mrefu
Mi nadhania Mungu aliangalia akaumba mwanamke apendezeshe dunia
Ukisikia,Sauti ya kukaa kichwani
Unavutia, malaika wa kupaa angani Amazing,
Mwanamke wa kumweka ndani Mwanamke wa kuspend money Ale ale ale ale
Angekuwa wimbo Dj angeurudia Ale ale ale ale Na kila mmoja angecheza
Ale ale ale ale Mr Dj angeurudia Ale ale ale ale Ale ale ale ale

Ale ale ale ale Mr Dj angeurudia Ale ale ale ale
Pita pita kwenye mitaa yao
Pita pita kwenye mitandao Pozi picha na mambo kibao
Maisha yao tunasema nao
Mwanamke anafanya unachange Hakuna binga wa kwenye mapenzi
Kuna wakati najibia Asione kama namwangalia
Ni kama kajumba anavutia
Anapita kwenye njia(She a danger girl)
Mada nimezamia Mi mwenyewe baharia Ale ale ale ale

Ale ale ale ale Mr Dj angeurudia Ale
Ale ale ale Oya eeh yeah eh yeah eh...
Eeh hanimudu nakunywa sumu Umenirudisha shule vidudu
Umenifunga mdomo ni bubu Nasema sio mapenzi ni juju, juju Bang!
Haya sio mapenzi ni juju Sio mapenzi ni juju
Haya sio mapenzi ni Juju (Juju)

Credits
Writer(s): Darassa Darassa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.