Hana Huruma

Instrunmental
Nipo na chemsha ubongo
Sijui wapi nianzie
Tena napoteza malengo wouwou
Mtunze niumie

Niliyempenda
Ati naye kapenda kwingine
Usinione nakonda
Waka sikondi na mengine

Ana mapenzi ya kibabe babe
Anachotaka yeye ale ashibe
Nikikosa nikabe kabe
Ili mradi ajiridhishe

Ana mapenzi ya kibabe babe
Anachotaka yeye ale ashibe
Nikikosa nikabe kabe
Ili mradi yaani aridhike

Nimejipa moyo
Kuwa ye nitadumu naye tu
Kwenye maisha yangu

Nimejipa moyo
Kuwa ye nitadumu letu
Ndo awe mke wangu

Ila hana huruma
Hana huruma
Hana huruma, hana huruma
Hana huruma kweli na mimi

Usiku wa manane anatweka tweka
Sina tofauti na mlinzi mbwa anayebweka
Ona anadina mimi kwake lofa
Tena sina zaidi mi kukuwa jinga

Kwanini kwanini
Anafanya huzuni
Kumpenda nampenda kweli kweli
Vipi awe hivi?

Ana mapenzi ya kibabe babe
Anachotaka yeye ale ashibe
Nikikosa nikabe kabe
Ili mradi ajiridhishe

Ana mapenzi ya kibabe babe
Anachotaka yeye ale ashibe
Nikikosa nikabe kabe
Ili mradi yaani aridhike

Nimejipa moyo
Kuwa ye nitadumu naye tu
Kwenye maisha yangu

Nimejipa moyo
Kuwa ye nitadumu letu
Ndo awe mke wangu

Ila hana huruma(Hana mapenzi ya kweli)
Hana huruma
Hana huruma, hana huruma
Hana huruma kweli na mimi

Kwanini mapenzi
Yanaumiza roho
No no no no
Yanaumiza kweli

Mbona asingekuwepo ningekua hodari



Credits
Writer(s): Debase Bella Enock
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link