Roho

(O-oo, o-oo)
(O-ooh, moyo)
(Oh-oh moyo uwo)

Nilipom-miss hakutokea, ili kunigea kiss
Au kuni-hug, hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga
Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakani-ditch
Nili-survive vipi sikumuita first love bitch

Ninahisi, nilipata vibe ya kuipa truth a facelift
Haupati love bila ya michuzi hauna cash Fid
Nikakesha ndani ya booth, Huyu na yule ikawa first hit
Show kila mkoa haikosi groupie kwa guest list

Life ikawa poa, lakini u-player siuwezi Fid
Sikufichi inaboa ile mbaya kuvaa jezi nyingi
Plus, hawara anapasha kitanda moto
Na haifanyi upweke ukaniacha kiasi cha kumganda huyu mtoto

Na kuimba mahaba niue, with a smile on my face
Haijalishi kama ana uzuri wa kum-turn hadi gay straight
Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi striker anaweza potea
Wengi wanawa-cheat na kuwaudhi wachache wanao-play fair

Mapenzi ni matamu 'nahofia kuumizwa moyo, ye-yeye (kuumizwa moyo)
Nashindwa kujaribu, roho inaniuma sana
Roho inaniuma, eh
Roho inaniuma, iya
Roho inaniuma, roho inaniuma
Roho inaniuma, iye, yeah, yeah

Ninahofia kuumizwa moyo
Bila hata kupewa pole
Dudu liumalo, kwanini nilipe kidole?
Ooh moyo (moyo), roho inaniuma mie

Dear hustle, ni wazi penzi lako ni safi
Na huniacha happy kila wakati kubaki nawe ni ki-smart baby
Kipi sipati? Ninahiti kwa chati waliotashtiti mziki haunilipi
Wako wapi? Waniache, mkate nipate baby

Money makes a man, lakini love ni hustle
You know who you love but you don't know who loves you (who loves you)
Wakunifanya niwe Baraka kama Michelle
Tabasamu zaidi ya wafungua mlango wa 5-star hotel

Dawa sio chungu ndugu, chungu maradhi
Haki ya Mungu tena, chuki humchoma anayeihifadhi
Kumsahau siwezi, ni sawa na kumkumbuka nisiyemjua
Mapenzi yalifanya nikaumbuka, ninachoshukuru hayakuniua

Mapenzi ni matamu 'nahofia kuumizwa moyo, ye-yeye (kuumizwa moyo)
Nashindwa kujaribu, roho inaniuma sana
Roho inaniuma, eh
Roho inaniuma, iya
Roho inaniuma, roho inaniuma
Roho inaniuma, iye, yeah, yeah (roho inaniuma)



Credits
Writer(s): Fareed Kubanda
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link