Wenge

Vile moyo unapwita najionea sana huruma
Nakaa chini nalia najiangalia sijitamani
Chini na chimba

Natafuta mzizi oh
Najitafutia dawa
Usinga kwa hirizi
Najiita mjinga
"J" acha utoto
Najiona mjinga wenge kimtindo
Hata tusiwe wapenzi mama juwa naumia
Umeondoa mchuma mama ngazi naachia
Leo unaienjoy upendo mi nachezewa hisia
Penzi langu mama natamani irudi zamani
Ah baby ayayaa
Oh baby oh wo wo
Inanichoma ayayaa
Nakosa amani oh wo wo
Ah baby ayayaa
Inaniuma oh wo wo
Najioneaga tu mabala ayayaa
Ah wo wo Oh mapenzi
Ah mama oh yeyeaah
Ah mama
Basi mapenzi majani ila penzi lako gumu kung'oka
Huwaga nalia sana nikikumbuka tulipo toka
Ningepata mwandani ila penzi lako linanyoosha
Usinifanyie mimi hivi juwa vibaya
Nitoe kwa ubaya, sweet mapenzi ndo haya
Basi unisamehe mwaya mama mapenzi ndo haya
Hata tusiwe wapenzi mama juwa naumia
Umeondoa mchuma mama ngazi naachia
Leo unaienjoy upendo mi nachezewa hisia
Penzi langu mama natamani irudi zamani
Ah baby ayayaa
Oh baby oh wo wo
Inanichoma ayayaa
Nakosa amani oh wo wo
Ah baby ayayaa
Inaniuma oh wo wo
Najioneaga tu mabala ayayaa
Ah wo wo Oh mapenzi
Oh mapenzi
Oh baby
Oooh



Credits
Writer(s): Sharif Juma, Sharif Said Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link