Jannah

Mmmhhh Mmhhhh
Oooh Oooh
Ooh Ooh Ooh
Oooh Oooh
Mhhh Mhhh

Mi nikikaa
Nnafikiria
Mambo mazuri mola ulojaalia
Waja wa kheri utayowapatia
Kwenye Jannah

Mi nikikaa
Nnafikiria
Mambo mazuri mola ulojaalia
Waja wa kheri utayowapatia
Kwenye Jannah

Tunakuomba
Mola atupe pepo yako
Tunakuomba
Tupe na ridhaa zako
Tunakuomba
Mola atupe pepo yako
Tunakuomba
Tupe na ridhaa zako

Mazuri sana
Uliotuandalia
Katika Jannah
Pindipo tukiingia ooh oohh
Na ukasema
Sote utatupatia
Tulomwegama
Mtume wetu nabia

Ilahi Karima
Twakuomba sana
Tupe yako Jannah
Firdausi njema
Tuishi daima
Na Tumwa Hashima
Tupate salama
Na zako neema

Oooh ooh ooh ooh Aaah
Oooh ooh ooh ooh Aaah
Laaalaa

Umeeleza kwenye kitabu chema
Sifa zake hiyo Jannah
Wataishi humo daima waumini

Kisha ukaweka bayana
Umeandaa mambo Adhima
Basi tujitahidi sana
Waumini

Majumba yake
Mazuri yanavutia
Na mito yake
Maziwa asali pia
Na wanawake
Wazuri wa kuvutia
Mfano wake
Hawajawahi tokea

Tunakuomba
Mola atupe pepo yako
Tunakuomba
Tupe na ridhaa zako
Tunakuomba
Mola atupe pepo yako
Tunakuomba
Tupe na ridhaa zako

Ilahi Karima
Twakuomba sana
Tupe yako Jannah
Firdausi njema
Tuishi daima
Na Tumwa Hashima
Tupate salama
Na zako neema

Oooh ooh ooh ooh Aaah
Oooh ooh ooh ooh Aaah
Laaalaa



Credits
Writer(s): Salim Iddi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link