Napenda Nipate Lau Nafasi
Napenda nipate lau nafasiiii
Nipate kusemaa nawe kidogo
Aaaaaaaaah Mamaaa... aaah
Rohoni naumiaaah
Hakika la kufanya bado sijalionaaah
Nimeona leo bora nikuiteeeeh
Uwenda punde rohoo yakoo ikadunda
Ikaja siku ukajanipooza moyoooo
Mamaaaah
Rohoni naumiaaah
(Mhhhh)
Katika kuja kwako wewe wangu mpenziiii
Ni kama mganga utayenitibuuu
Katika Maradhi yanayonisibuuu
Hakuna mwingine ila ni wewe mpenzi uje hima mwenzio naumiaaah
Hakika la kufanya bado sijalionaaah
Nimeona leo bora nikuiteeeh
Uwenda punde roho yako ikadundaaah
Ikaja siku ukajanipoza moyooo mamaaah
Rohoni naumiaaah
Eeeeeeeehm
Ooooooooh
Oooh
Napenda nipate lau nafasiiii
Nipate kusema nawe kidogooo
Aaaah mamaaaah
Rohoni naumiaaah (Eeeeeeeh)
Rohoni naumiaaah (Ouoooooh)
Rohoni naumiaaah (Eeeeeeh)
Naumiaaah (Ouoooooh)
Rohoni naumiaaah
Naumiaaah
Nipate kusemaa nawe kidogo
Aaaaaaaaah Mamaaa... aaah
Rohoni naumiaaah
Hakika la kufanya bado sijalionaaah
Nimeona leo bora nikuiteeeeh
Uwenda punde rohoo yakoo ikadunda
Ikaja siku ukajanipooza moyoooo
Mamaaaah
Rohoni naumiaaah
(Mhhhh)
Katika kuja kwako wewe wangu mpenziiii
Ni kama mganga utayenitibuuu
Katika Maradhi yanayonisibuuu
Hakuna mwingine ila ni wewe mpenzi uje hima mwenzio naumiaaah
Hakika la kufanya bado sijalionaaah
Nimeona leo bora nikuiteeeh
Uwenda punde roho yako ikadundaaah
Ikaja siku ukajanipoza moyooo mamaaah
Rohoni naumiaaah
Eeeeeeeehm
Ooooooooh
Oooh
Napenda nipate lau nafasiiii
Nipate kusema nawe kidogooo
Aaaah mamaaaah
Rohoni naumiaaah (Eeeeeeeh)
Rohoni naumiaaah (Ouoooooh)
Rohoni naumiaaah (Eeeeeeh)
Naumiaaah (Ouoooooh)
Rohoni naumiaaah
Naumiaaah
Credits
Writer(s): Benard Michael Paul Mnyang'anga
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.