Makasiriko

Usibishane na babu wewe
Aaah
Uuh yeah
Ilogos music yeaah
Nai Nai
Kwani bosss

Hii mwaka haitaki makasiriko
A basi punguza alarm
Hii mwaka haitaki makasiriko
Sielewi mbona una jam
Hii mwaka haitaki makasiriko
Aya pewa kwa bill yangu
Hii mwaka haitaki makasiriko
Nausi tangazie watu

Kuna sampuli flani ya watu boom
Wanakuaga na roho chafu yeah
A Wanajifanya mbele ya watu
Eti marafiki kumbe ndani nima chatu
A basi punguza feeling
Vitu zingine hazinaga meaning
Ya mvua unajua dalili
A Nishaona mbele niko gangari
Gangari eh

Back stabber dem a back stabber
Wanakukulia bila kutumia rubber
(mafala)
Itabidi leo tuwatoke ki design
Fitina fitina na resign
Nai Nai

Hii mwaka haitaki makasiriko
A basi punguza alarm
Hii mwaka haitaki makasiriko
Sielewi mbona una jam
Hii mwaka haitaki makasiriko
Aya pewa kwa bill yangu
Hii mwaka haitaki makasiriko
Nausi tangazie watu

Hii mwaka si bishana mara mbili
Vitu zingine uchokesha akili
Hii mwaka nimechorea ma pressure
Hii mwaka ni ya ku sakanya pesa

Kwenye radio zidi kunisema
Side yangu ni volume na ongeza
Ye na tutazidi kuwa tesa
A Naiboi worldwide tingisha meza

Hii mwaka haitaki makasiriko
A basi punguza alarm
Hii mwaka haitaki makasiriko
Sielewi mbona una jam
Hii mwaka haitaki makasiriko
Basi pewa kwa bill yangu
Hii mwaka haitaki makasiriko
Nausi tangazie watu

Aaah
Uuh yeah
Ilogos music yeaah
Nai Nai
Kwani bosss



Credits
Writer(s): Michael Kennedy Claver
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link