Mifupa Yaishi Tena

Kuna matumaini mti uliokatwa
utaweza chipuka tena na
kutoa matawi mapya
Punde tutayaona maua
yameta meta na mwishowe
tutapata matunda kwa mti huo

Kuna matumaini mti
uliokatwa utaweza chipuka
tena nakutoa matawi mapya
Punde tutayaona maua
yameta meta na
mwishowe tutapata
matunda kwa mti huo

Ajikwaae hataanguka
Mungu muumba
atamtegemeza.
Wamngojao Bwana
watapata nguvu
watapaa kama tai



Credits
Writer(s): Collins Odiwuor
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link