Tapo

Chuu chuuu
Chuu chuuu
Chuu chuuu
Chuu chuuu

Aiiiiii yezaa
Aiiiiii yezaa
Aiiiiii yezaa
Angry panda under micy

Tapo tapo tapo
Ka ayuko rada apigwe tapo
Ni mtu wako wangu wa kando
Ukilalisha banaa napita nakooo
Aki jilegeza unapiga tapo
Unakapoteza unapiga tapo
Ukisha teleza unapiga tapo
Ati fom tuuu ni
Tapo tapo tapo

Eeii
Nateleza kwa beat,utathani konokono
Ye nika shabiki,vile anatupa mikonao
Anashangilia nikaa ameshinda lotto
Ati,miniwake?alaa iyo ni ndotoo
Come nikushoo vile jooh sii hufanyaaa
Adi ukiniroga,bado nitakuhanya
Ukisha anika nakuja nakumanyaa
Nauma napuliza najifanya kama panya
Yee hupiga nduru manzee kaa scooby doo
Ashachanganikiwa,anadance skelewu
Physically fit ana bed kaa bambuu
Mii ndio nyuki,napeana utamuu
Kaa ni wako itabakii umeteta
Juu ntacheza na hio mwili kaa dictator
Uta baki umeshitukaaa
Gai fafa
Pewa kitu,Tetema,kama fifafaa

Tapo tapo tapo
Ka ayuko rada apigwe tapo
Ni mtu wako wangu wa kando
Ukilalisha banaa napita nakooo
Aki jilegeza unapiga tapo
Unakapoteza unapiga tapo
Ukisha teleza unapiga tapo
Ati fom tuuu ni
Tapo tapo tapo

Ati
Shikilia mali yako
Kaa rada naezapita naye
Juu zikishika naeza shuka na ye
Na tutaenda home ntamsuka atanipee
Haahaar
Pole pole tukiset
Tumekuja na ubaya ona vumbi kasee
Na watachora saba juu beat sio lame
Nextime kaa rada juu si ndio kusay aahh
Angry panda ndio name
Vile si huwapanda
Utathani tunadate
Kacheze na matope hii game ni ya kizee
Upende usipende
Huezi kuwa me
Aah
Songa mbali na me
Juu ukicome sana itakuwa ngori daddy
Tingalinga ling
Is a hit track ting
17B kasarani
Straight outta

Tapo tapo tapo
Ka ayuko rada apigwe tapo
Ni mtu wako wangu wa kando
Ukilalisha banaa napita nakooo
Aki jilegeza unapiga tapo
Unakapoteza unapiga tapo
Ukisha teleza unapiga tapo
Ati fom tuuu ni
Tapo tapo tapo

Anakata ni kaa anataka
Ju enyewe kameiva nikasupa nika yezayeza
Mistambui kaa mvuvi na mvua vua
Ukidai ni kwa kiti ama meza meza
Nakapeleka mbanyu tuna anza kizitoka
Juu nimeomoka lazima kumochoka
Kanapiga magoti nika kameokoka
Daktari mitishamba nakatibu nyoka
Na mi siwezi kubali kukata
Ukicome through niku rollie kindom
Niku nding ndeng ndung
Uki cover the face
Mi na fire the base
Huh
Masaa ni ya waitane
Ile time niko njing me na feel kama king
Akuna cha udoctor me ndio ring ding
Kadem kana sukwa anaringa
Anatepwa anajipa
Anatekwa anaseswa anatokwa
Anatekwa anaseswa anatokwa

Tapo tapo tapo
Ka ayuko rada apigwe tapo
Ni mtu wako wangu wa kando
Ukilalisha banaa napita nakooo
Aki jilegeza unapiga tapo
Unakapoteza unapiga tapo
Ukisha teleza unapiga tapo
Ati fom tuuu ni
Tapo tapo tapo

Aiiii



Credits
Writer(s): Eugene Oyoo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link