Nakudai

Chuu chuuu
Chuu chuuu
Angry panda
Under Mikey
Aiiii

Vile umenibamba joo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Come tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai
Leo nakudai
Vile umenibamba joo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Come tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai
Leo nakudai

Msupa usiogope nakusho karibia
Si lazima nikope naweza ku ibia
Atakama ni ngima bado nita adisia
Juu niko na maplans zinaeza kusaidia
Sina damu ya ufisi nakuwanga ule boy
Waki leta ubishi nitawaacha hoi
Wachana na vidole wachana na ma toy
Minaeza kupiga rungu mbaka uniiite Moi
Nataka nikupende ndio tukuwe successful
Na usinitende usiwe un grateful
Mi nataka twende mashambani nyumbani kejani kwa baba na mama jamani
Shingo ya upanga usinipige makata
Mauno ya nyoka napenda unavyo kata
Macho za bano napenda unavyo nga'
Uku nyuma umejibeba adi mi nashangaa

Vile umenibamba joo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Come tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai
Leo nakudai
Vile umenibamba joo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Come tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai
Leo nakudai

Nika fine ting ati Kanaitwa Nilla
Kakipita mtavunja shingoo juu ya thutha
Kamenyauka utathani kanauzanga matunda
Aii aii
Minikamkuta
Sini one time kukapiga kiswahili
Nakapiga lugha utathani tuko wawili
Niite husband juu ntakufanya bibi
Watoi nao God atubless na wawili
Mi stambuii kulee unaishii
Bora mi niwako
We ni wangu
Ibaki wame tii
Ata stadii ntajenga mamii
Juu vile nina dai uki dai tunapigamechi
Bora u coparetii
Na unisetii
Nita kupendar
Kulikoo otieno na neti
Kwa roho yangu
We ni mainchick
Haupigi seti
Kuwa wangu mammy
Juu enyewe

Vile umenibamba joo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Come tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai
Leo nakudai
Vile umenibamba joo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Come tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai
Leo nakudai

Aaii



Credits
Writer(s): Eugene Oyoo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link