Manukato Ya Sifa

Shamma we ni jehovah dear
Instrunmental
Umenibeba juu halleluyah
Umenijenga juu ya mwamba aaah
Mungu umeja wema aah na mapendo eeh
Nimeona uzuri wako ooooooh

Nani wa kufanana na ebenenezar mungu wa israeli
Wa kupenda na kuchukua ni wewe jehovah aaaah
Umenifanya muriithi wakusudi lako wema kabisa yeye eeeh
Nimutumaini yeyeye yeye nani ila ila ebenezah

Na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi
Tena bado unanizingatia na kunipa tumaini
Nafsi yangu ninakupatia nifinyangee eeeeh
Nitalinda moyo wangu uuuh ukufuateee eeeeh.



Credits
Writer(s): Peter Audiphaxad Omwaka
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link