Nitayainua Macho

Nitayainua macho yangu juu nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana
Majeshi yajapojipanga kupigana nami
Moyo wangu hautaogopa
Maana najua husinzi wala hutalala Bwana wangu utanipigania 2

eeh Bwana nimeungojea wokovu wako na maagizo yako nimeyatenda
nafsi yangu imezishika shuhuda zako nami nimekupenda mno
nimeyashika mausia yako maana njia zangu zi mbele zako

Bwana kilio changu yakikukaribia unifahamishe sawa na neno lako
Dua yangu na ifike mbele zako uniponye sawa na ahadi zako
Midomo yangu na itoe sifa kwako ulimi wangu uimbe ahadi zako
Nafsi yangu na iishi ipate kukusifu hukumu zako zinisaidie 2
eeh bwana... 2



Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link