Nioneshe

Oooh beiby,
Ukinigusa nyang'a nyang'a
Mwenzako sijiwezi
Mi kipofu napapasa juu yako

Nahisi hakuna amani
Nisipokuona nyumbani
Moyo unajawa tafarani

Kwichi kwichi chumbani
Haziishi kichwani
Hasa pale ukiwa mbali nami

Chochea kuni kwa kishindo
Jiko lako ni mimi
Unipe joto joto kwenye baridi

Nitang'ang'ana nawe nitabaki nawe
Sitokuacha mpweke
Shika ishikilie, usiniache mimi
Chunga wasiniteke

Honey mi kwako nazi mbata
Nitafune unavyotaka
Kiuno si dimba chakacha
Serebuka unavyotaka eeiii

Nioneshe, niweke tepetepe (nibonye bonye beiby)
Nioneshe, niweke tepetepe (lover)
Nioneshe, niweke tepetepe (nibebebe bebe)
Nioneshe, niweke tepetepe (I swear me love you too)

Napenda ukinichombeza
Umeniweza nipe ndoa, nichangie na damu
Mi ndo ukinichombeza
Ukinigusa mi nalowa, usiniache wa ubani

Ndi ndi ndi
Kisho unitafune mbilimbi eeh
Na bao la ushindi
Mchezaji chake kigimbi eeh

Roho zinawauma eeh (wauma eeh)
Mimi kuwa na wewe
Zinawauma eeh
Mimi kuwa na wewe

Nitang'ang'ana nawe nitabaki nawe
Sitokuacha mpweke
Shika ishikilie, usiniache mimi
Chunga wasiniteke

Hunny mi kwako nazi mbata
Nitafune unavyotaka
Kiuno si dimba chakacha
Serebuka unavyotaka eeiii

Nioneshe, niweke tepetepe (nibonye bonye beiby)
Nioneshe, niweke tepetepe (lover)
Nioneshe, niweke tepetepe (nibebebe bebe)
Nioneshe, niweke tepetepe (I swear me love you too)

Uuuh lalala, ohaaa
Uuuh lalala, ohaaa

(The Mix Killer)



Credits
Writer(s): Maua Sama
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link