Unanikosha

Mmh aah weka utamu lady
Kabla hakujakucha my lady
Mmmh aah nahisi nadedi
Ukisimama kwa ukucha my lady

Aah nahisi joto sio joto baridi sio baridi
Mmh nakuwa katoto katoto we unavyonifariji

Hizo bingiri bingiri mpaka chini
Nakupa pingili bafuni kabatini
Baby lako timwili timbwili la kijini
Mmmh aah aaah

We ndo unikosha
We ndo unanikosha (aah aah umenikaa)
We ndo unanikosha (mmh aah unanikaa)
We ndo unanikosha

Baby nipe tena kimoko
Kisheti ninywe na chai
Wa kusela kusema wanoko
Nipetii niwe nishai

Bila wewe lazizi nahisi ningehenyeka sana
Nataka nikutoe baby Copa Cabana
Ila wewe lazizi unajuaga kueneka bana
Nataka nikutoe baby mmh

Hizo bingiri bingiri mpaka chini
Nakupa pingili bafuni kabatini
Beiby lako timwili timbwili la kijini
Mmmh aah aaah

We ndo unikosha
We ndo unanikosha (aah aah umenikaa)
We ndo unanikosha (mmh aah unanikaa)
We ndo unanikosha

Aah niko nyuma naiokota
Dondosha mmh aah dondosha
Ukizima naikokota
Dondosha mmh aah dondosha

Fanya kama kuisokota
Dondosha aah aah dondosha
Mbona kama inatokota
Dondosha, dondosha



Credits
Writer(s): Marioo Mwanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link