Omukwano (feat. Alikiba)

Uh uuuh uuuh
Baby baby
Yeeeeah
Mocco

Hivi umeshushwa maana upo byee bomba
Na nimestushwa na utamu peremende ulionao
Mapenzi ya kikubwa unayonimwagia ni raha sana mama mama
Na leo nikifa nibaki jirudia ni takeover ni takeover in your mind

Unanimpress unanipa raha no stress (eeh)
Kukuvesha shela sio kesi
Tuombe Mungu a-bless (eeh)
Baby you are my princess
I put smile on your face (eeh)
Natuombe kwa Mungu nizikwe nawewe daima

Omukwano gwo (ah ah aah) na-enjoy
Penzi lako (ah ah aah) niko niko hoi
Omukwano gwo (ah ah aah) na-enjoy
Penzi lako (ah ah aah) niko hoi

Omukwano gwo
Omukwano gwo
Omukwano gwo
Omukwano gwo

Mzima Mzima kama chatu nimeze baby
Nichange ka pasa za upatu ni-makemake
Ooh Sinora (Sinora eeh) nitakuoa nitakuoa
Usijali vile vimasika tu we uko na mimi

Unanimpress unanipa raha no stress (no stress oh)
Kukuvesha shela sio kesi (hey)
Tuombe Mungu a-bless
Baby you are my princess
I put smile on your face
Natuombe kwa Mungu nizikwe nawewe daima

Omukwano gwo (ah ah aah) na-enjoy
Penzi lako (ah ah aah) niko hoi
Omukwano gwo (ah ah aah) na-enjoy
Penzi lako (ah ah aah) niko hoi

Omukwano gwo
Omukwano gwo
Omukwano gwo
Omukwano gwo
Njoooo
Omukwano gwo

Nitakupenda nitakulinda mimi nawe
Ooh my baby mimi nawe 'cause I got you
Nitakupenda nitakulinda mimi nawe
Ooh my baby mama mama



Credits
Writer(s): Ali Saleh Kiba, Tommy Flavour
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link