Mama Ntilie

Huu wimbo
Ni kwa Mama Ntilie
Nikiwa mjiji
Ninasikia njaa
Nifanye nini?
Sina viombo
Sina majiko
Sina vitu vingine ninavyohitaji.
Nitaenda wapi?
Kwa Mama Ntilie.

Mama Ntilie
Mama Ntilie
Mama Ntilie nipakie
Na pilipili nipatie
Kama ni tamu niwaambie

Mama Ntilie
Mama Ntilie
Mama Ntilie nipakie
Mama Ntilie nipakie
Mama Ntilie nipakie

Mama Ntilie
Mama Ntilie
Ni ni ni ni ni ni ni ni nipatie
Mama Ntilie
Mama Ntilie
Ni ni ni ni ni ni ni ni nipatie

Yeah yeah yeah

Mama Ntilie
Mama Ntilie
Mama Ntilie nipakie
Kama ni tamu niwaambie

Mama Ntilie
Mama Ntilie

Mama Ntilie
Chipsi mayai
Oh! Oh!
Unayo mishkaki
(mishkaki ni tamu)
Ugali kidogo na dagaa
Ugali kidogo na dagaa

Fanta Orange ah!
Coca Cola yah!

Mama Ntilie
Mama Ntilie
Mama Ntilie
Mama Ntilie
Kama Asubuhi
Nakuja kwako kupata
Kupata pata pata pata
Chai ya tangawizi
Chai ya tangawizi
Chai
Chai
Chai

Mama Ntilie
Na maandazi
Na vitumbua-a-ah
Nipe maandazi
Na vitumbua-a-ah!

Mama Ntilie
Mama Ntilie nipakie
Na pilipili nipatie
Kama ni tamu niwaambie

Mama Ntilie
Mama Ntilie
Mama Ntilie

Saa za mchana
Nakuja kwako
Unayo wali
Imependeza eh!
Unayo wali
Na ina mchicha weh!
Mchuzi wa nyama
Na maharague maharague maharague maharague maharague...

Mama Ntilie
Mama Ntilie

Mmh! Mmh! Mmh!

Mama Ntilie

Mmh! Mmh!

Mama Ntilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie nitilie.

Nitilie
Nitilie
Nitilie
Nitilie
Nitilie
Nitilie
Nitilie
Nitilie
Nitilie
Nitilie



Credits
Writer(s): Sofi, Sophia Neghesti-johnson
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link