Aheri

Mmmm Mmmmmm
Mmmm Mmmmmm

Uliniahidi maisha yaliyo na raha
Na ukaniahidi maisha bila mashaka
Ni nini ilitendeka baada ya ndoa
Ni nini ilitendeka baada ya kupa we wana
Kila siku mimi nilimuomba Mwenyezi
Anipe mume atakaye nienzi
Ikawaje vigumu kunipa lako penzi
When you promised that I would be your one and only lady (Only lady)

Aheri Aheri
Aheriga Amanyiga Agombiga

Uliniahidi mapenzi unienzi your cherie
Na mimi nikakuahidi mapenzi kwenye faraja na dhiki
Ni vipi sa sikuelewi,
Shida si umasikini daddy
Mapenzi pilipili, tena kageuka shubiri
Lakini bado nakupenda
Sitawahi kuwacha
Tufurahie pamoja
Hata kama kwa bodaboda
Bado nakupenda
Sitawahi kuwacha
Tufurahie pamoja
Hata kama kwa bodaboda

Aheri Aheri
Aheriga Amanyiga Agombiga

Ninakuenzi mpenzi (I cherish you my love)
Ninakuenzi my baby (I cherish you my baby)
Stay with me and our family
Oh I love you
My baby I love you my love



Credits
Writer(s): Hulda Serro
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link