Pendeka

Ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)
Me siwezi tosheka (ayayaya), na siwezi kuruka (ayayaya)

Me siwezi tosheka (mmh), na siwezi kuruka (ayayay)

Nilicheki ukidondosa,nikakutokea ukanitoroka
Sahii baby unanisorora, sitakuchorea hata ukikoroga,
Coz I need you in my bed tonight, we gonna sex alright
Leave you paralyzed,I know you kinda obsessed with me,
Word on the street is that you sexing me,
Saa unanivuta, wanichemsha unavyojigusa,
Nikisogea shika ukuta, nionyeshe chenye mama alikupa
You know im the man to be, the one to bring you your fantasy,
Girl you better stop testing me, wajua nakupenda why you ignoring this,

Ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)
Me siwezi tosheka (ayayaya), na siwezi kuruka (ayayaya)
Ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)
Me siwezi tosheka(mmh), na siwezi kuruka (ayaya)

Naomba unisikize, I know this cant be easy,
But before uniulize, Ill stack up and tell you whats going on
Siseme hunipendi, but I cant say im convinced
Sisemi me huniwezi, Just don't wanna risk my feelings
Nimeshaumia tayari na sitaki marudio,
Id rather be honest, than keep it on the low sio,
Lakini endelea hivyo hivyo wanasema pole pole ndio mwendo
So maybe with a little bit of patience you can check off all the boxes kwenye check list

Ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)
Me siwezi tosheka (ayayaya), na siwezi kuruka (ayayaya)
Ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)
Me siwezi tosheka(mmh), na siwezi kuruka (ayaya)
Ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)
Me siwezi tosheka (ayayaya), na siwezi kuruka (ayayaya)
Ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)
Me siwezi tosheka(mmh), na siwezi kuruka (ayaya)

Credits
Writer(s): Boutross Munene, Morris Banju Mwangi, Xenia Karungu, Xenia Manasseh
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link