Naogopa

Langu tope utelezi utaweza kuvumilia madhaifu yangu
Na kwenye kope ni kweli utaweza kuvumilia
Mbegu ya mnazi
Usinipande jangwani hakuna maji wala mbolea
Kuchipua kazi
Kula yangu ya foleni mi piza baga sijazoea

Naomba kwa Mollah
Kila siku moyo wako usijejawa chuki
Kovu la ufukala
Umelifuta kabisa umeniepusha na dhiki Eeeh

Mwenzako naogopa
Mi naogopa
Mwenzako naogopa
Mi naogopa

Mmmmh iyeiyeee iyee iyee iyee iyee
Mmmmh iye iye iyeiye mmmh
Ushajuwa madhaifu
Basi usifanye fimbo yakunihukumu eeh
Iwe chungu tangu kwa wenzangu
Penzi lifike ukingo utaniumbua eeeh
Na shilingi Ina pande mbili
Bichwa na mwenge hilo kaa ukijua
Na vyandani uvifanye siri
Usije lopoka bure ukaniumbua

Naomba kwa Mollah
Kila siku moyo wako usijejawa chuki
Kovu la ufukala
Umelifuta kabisa umeniepusha na dhiki Eeeh

Mwenzako naogopa
Iyeiyeee naogopa naogopa mazonge siwezi
Mi naogopa
Eeeeh ukiniacha mwenzako watanicheka wale unajuwa weee
Mwenzako naogopa
Iyeiyeee naogopa naogopa mazonge siwezi
Mi naogopa
Ukinicha watanicheka vibaya uwouwouwooh



Credits
Writer(s): Suleyman Gao
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link