Salama

Jua la saa saba
Limewaka sana
Linavyonichoma
Ndivyo na kazana
Juu siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama

Kiza la saa moja
Limenipata kwa shamba
Ninaogopa polisi na wakora
Siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
Siwezi lala njaa nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama



Credits
Writer(s): Benson Mutua, Trevor Magak
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link