Kiwazimu

Mr nun
Kwenye beat ya mavo
Joefes
Ni wakuu
Mavo on the beat and its bout to be BADDER
Mavo on the beat

Tapo tapo hapa hakuna mchezo wa kuigiza
Basi panua na mimi nitaingiza
Chapo nakula ni kama naimaliza
Ukitoka hapa jina jirani atauliza
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
Panua tu fiti me ntaikula kiwazimu

Niko na kutu, nasaka mutu
Nataka kuku kuku ina supu
Dry dry siezimeza tupu
Nachapa sai sai hata ka ni bubu
Cheki ana shy aaai na ako juu ya dudu
Nachapa ikus me ndio Yule naacha isusu
Me ni ka boss nachapa poko na luku ah
Staki loss ah ah nataka nduku
We hata usipose kuja kuja ka karutu
We ni ka pork nasaka kuku ina nduku
We ni katot nashuku bado una pupu
Uliza mavo nendeni mkakule mbuku

Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
Panua tu fiti me ntaikula kiwazimu

A dude like me siezikosa plan B
Niko na plot nimewai stay kwa landi
Napenda shamba utapata land cruiser
Dem ni wako jirani me naiguza
Ndani ya club me na mbogi tuna preach peace
Ukiwa dwanzi table yako tuna impeach
We ni big fish? Kwa hii mtaa me husell fish
Baba Otis nakumada tu na selfie
And I'm selfish, napendaga kuwa petty
Kwanza Betty nilimdishi after betting
Suffocating keja nduku tuko setting
Katoto sexy jikoni veggies ni freshy

Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
Panua tu fiti me ntaikula kiwazimu

Anatingisha acrobatics mpaka ma kantan
Nime concentrate nimeeka macho mpaka ma canter
Na it can't kwama Lafu nipige mastunner kisanfam
Figa anararuka kijana akianza kuburn burn
We bad man songa kando ustake joh ni njama
Ni fya man jeshi imebonda manze ni gwanda
Narun town marapper nabonda manze kiganda
Una camper nimejaza madem unaezadhani ni nan town
Marapper ni mchezo wanaleta na watasteseka
Wakati nashika mapeta nashika
Mashiko kefeka napita nacheka
Wakati watoto wanateta
Nawapepeta wakati nacheka
Na me huwa naendaga joh nikimeta
Naifanyaga joh kwa ma shutter
Ndo maana hakuna msee anaezai-do better

Tapo tapo hapa hakuna mchezo wa kuigiza
Basi panua na mimi nitaingiza
Chapo nakula ni kama naimaliza
Ukitoka hapa jina jirani atauliza
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
We panua fiti me ntaikula kiwazimu
Kiwazimu, basi naikula ka wazimu
Panua tu fiti me ntaikula kiwazimu



Credits
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link