Mangoko

Mangoko mangoko mangoko wenye haga ile nono
Mangoko mangoko mangoko wanafanya niwe aaiii

Teka teka mali safi ndio napendaga
Ngoko yaani ki ngeus kimejibebanga
Nateka zote Tizedi, Kenya, Uganda
Nipate nao tu kwa bedi nikiwa manga, na
Najiaminia Menace siezi jishuku
Zile za huku mi hupiganga tupu tupu
Na saa zingine manzee mi hukosa mtu
Lakini daily nakuwaga tu na kutu

Mangoko mangoko mangoko wenye haga ile nono
Mangoko mangoko mangoko wanafanya niwe aaiii
Mangoko mangoko mangoko wenye haga ile nono
Mangoko mangoko mangoko wanafanya niwe aaiii

Mangoko mandoko na niko loco
Yaani chombo kwa soko mtoto jojo
Lazima pongo mkoro kwenye hii dodo
Nakuwanga kolo kwa watoto wenye haga nono
Amebeba, walai mpaka ndani mi napenya (aaiii)
Asha nijenga, na bado analia bado tena (mmh)

Mangoko mangoko mangoko wenye haga ile nono
Mangoko mangoko mangoko wanafanya niwe aaiii
Mangoko mangoko mangoko wenye haga ile nono
Mangoko mangoko mangoko wanafanya niwe aaiii

Nimetaka, nimetaka, nimesaka nikapata
Na kwake nimedata na ju yu ni mada
Uyo siezi acha manze yu ni bamba
Kwanza pale kwenye haga na mapaja
Magizani nimdigi ka kichimbi
Na, apige kelele ju kwa mechi ye firimbi
Na, nasesa wote Kasarani hadi Mwiki
Na, style tu ni doggy tabia ndio za kifisi

Mangoko mangoko mangoko wenye haga ile nono
Mangoko mangoko mangoko wanafanya niwe aaiii
Mangoko mangoko mangoko wenye haga ile nono
Mangoko mangoko mangoko wanafanya niwe aaiii

Mi ni kijana
Na yangu si fupi round aaiii
Nakubamba
Niaje mami we unajam mmh
Mi ni kijana kamoja ka blanda
Bila handa
Siwezi blanda
Kwa kitanda nakuwanga tu mjanja
Nakuganga
Si ushaa ni rada

Credits
Writer(s): Batrium Muruka
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link