Alaji
Dunia inazunguka
Ulimwengu inabadilika
Upendo hakuna tena
Ndugu chuki twekeana
Jirani twarogana
Rafiki twasengenyana
Binadamu twauwana
Usiku na mchana
Tena na tena tena
Amani hakuna tena
Magonjwa twapata kila siku
Hakuna tiba
Maleria
Ebola
Mpaka corona
Wakubwa ni vitambii tu bungeni wananona
Nashangaa mbona binadamu twaishi kaa wanyama
Ukiwa maskini kwa jamii hauna maana
Utaonyeshwa mateso na dharau la kila aina
Ila usijali
Mungu juu mbinguni ana waona
Kila litendekalo chini ya jua lina maana
Maisha ni mtiani na kila mtu ana yake
Wengi huifeli ju wafuata za wenzao
Maswali tafauti bro
Tumia akili yako
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Reborn boy kwa ukweli naumia
Tabia za dunia zinanifanya mi nalia
Angalia
Kila kukiingia
Zaidi ya mamia wote wana angamia
Wakubwa na wadogo wote wana murukia
Mungu pia ana angalia
Mabaya mulio fanya bila hata kufikiria
Msalabani alitufia
Tumtumikie ili heaven tuingie
Mabaya unayo fanya we msela utalipia
So kabla ufanye brother meny fikiria
Fikiria brother meny
So kabla ufanye brother meny fikiria
Fikiria brother meny
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Wahenga alisema aleye juu mgoje chini
Usione umepata leo uka mdharau maskini
Dunia ni mzunguko sazingine upenduka
Usione umepata uka sahau ulipotoka
Walio kusaidia
Leo umewatupa
Hawana paku lala wana lala kwa mapipa
Usiku mzima baridi inawapiga
We unakula raha
Wengine wa lala njuu
Rafiki wa ukweli uwezi mwacha mwenzio
Tusije chukiana keshow ikakuwa kilio
Ukiona nimelemewa brother ni shike mkono
Ufukara wangu sikupenda kwangu ni maisha
Na hii ni halitu
Kwenda kesho ikaisha
Umaskini si ulemavu ni hali ya maisha
Huenda kesho
Mambo kuja badilika
Msela nika pambazuka
Mambo yaka peperuka yoh
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Ulimwengu inabadilika
Upendo hakuna tena
Ndugu chuki twekeana
Jirani twarogana
Rafiki twasengenyana
Binadamu twauwana
Usiku na mchana
Tena na tena tena
Amani hakuna tena
Magonjwa twapata kila siku
Hakuna tiba
Maleria
Ebola
Mpaka corona
Wakubwa ni vitambii tu bungeni wananona
Nashangaa mbona binadamu twaishi kaa wanyama
Ukiwa maskini kwa jamii hauna maana
Utaonyeshwa mateso na dharau la kila aina
Ila usijali
Mungu juu mbinguni ana waona
Kila litendekalo chini ya jua lina maana
Maisha ni mtiani na kila mtu ana yake
Wengi huifeli ju wafuata za wenzao
Maswali tafauti bro
Tumia akili yako
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Reborn boy kwa ukweli naumia
Tabia za dunia zinanifanya mi nalia
Angalia
Kila kukiingia
Zaidi ya mamia wote wana angamia
Wakubwa na wadogo wote wana murukia
Mungu pia ana angalia
Mabaya mulio fanya bila hata kufikiria
Msalabani alitufia
Tumtumikie ili heaven tuingie
Mabaya unayo fanya we msela utalipia
So kabla ufanye brother meny fikiria
Fikiria brother meny
So kabla ufanye brother meny fikiria
Fikiria brother meny
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Wahenga alisema aleye juu mgoje chini
Usione umepata leo uka mdharau maskini
Dunia ni mzunguko sazingine upenduka
Usione umepata uka sahau ulipotoka
Walio kusaidia
Leo umewatupa
Hawana paku lala wana lala kwa mapipa
Usiku mzima baridi inawapiga
We unakula raha
Wengine wa lala njuu
Rafiki wa ukweli uwezi mwacha mwenzio
Tusije chukiana keshow ikakuwa kilio
Ukiona nimelemewa brother ni shike mkono
Ufukara wangu sikupenda kwangu ni maisha
Na hii ni halitu
Kwenda kesho ikaisha
Umaskini si ulemavu ni hali ya maisha
Huenda kesho
Mambo kuja badilika
Msela nika pambazuka
Mambo yaka peperuka yoh
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Nina alaji na tabia za dunia
Kila kitu wakifanya msela naumia
Yani kila siku naskia kulia
Yani kila siku naskia kulia
Credits
Writer(s): Leon Kabasele
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.