Bampa 2 Bampa (feat. Nandy)

Upendo usitie vigingi
Kitandani mwendo wa bakora
Kichwani ibaki vumbi
Meno kusaga mkongora

Ninavoliseti ilo keti
Natema sumu ka dondora
Maji kulowesha nyeti
Kifo cha mende kuchochora

Marafiki wa shuka ni kitanda na godoro
Ooh fisi yake mifupa sio supu ya kongoro
Au kisa ufundi maujuzi ndio unifanye vibaya
Nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya

Me I'm bampa to bampa
Me and you we are bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa
Linanoga bampa to bampa

Ooh darling ee bampa to bampa
Me and you bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa
Linanoga bampa to bampa

Hey nimekuwa chizi (hey nmekua chizi)
Majinuni kilaza na sijiwezi
Majuto ni mjukuu
Naridhika na wewe tuu

Kukuacha si thubutu
Usiniache weweeee
Tujinafasi kibampataa
Nitakuja kujuta ukinikataa
Tujinafasi kibampataa
Nitakuja kujuta ukinikataa

Me I'm bampa to bampa
Me and youwe are bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa
Linanoga bampa to bampa

Ooh darling ee bampa to bampa
Me and you we are bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa
Linanoga bampa to bampa

Bampa bampa
The men is hunter
Nampa nampa
Chochote anataka
Nipe tepetepe me nilowe
Kisu chako nikinowe
Umenishika kwenye rowes... Hey...

Marafiki wa shuka ni kitanda na godoro
Ooohh Fisi yake mifupa sio supu ya kongoro
Au kisa ufundi maujuzi ndio unifanye vibaya
Nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya

Me I'm bampa to bampa
Me and you we are bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa
Linanoga bampa to bampa

Oohhhh darling ee bampa to bampa
Me and you we are bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa
Linanoga bampa to bampa

Tujinafasi kibampataa
Nitakuja kujuta ukinikataa
Tujinafasi kibampataa



Credits
Writer(s): Emmanuel Mkono, Aika Calvin Marealle, Faustina Charles Mfinanga, Francis Jacob Matuja
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link