Atatenda

Onananana... a dis one fi di dancehall lovers
Havoc one time a again eeeh, eeeaah aah aah
Eeeaah, aah aah

Yesu akisema atatenda, vumilia me najua atadu one time
Yeye tu pekee anatupenda, za shetani zikikuja tunampa signal

Nimetoka hustle na ndo nipate pesa nimetokwa jasho ooh
Nyuma kuna vikwazo na ndani akilini nimejawa mawazo
All of me friend dem are hating on me, I am tempted to drink Hennessy
But when me turn around to me family, dem a depend on me dem a cry out on me
Fada God I know you a go never let me down, even if di devil only wanna see me frown
Take away me sorrows then you put me in a crown, I will lean on to thee nitatia bidii

Yesu akisema atatenda, vumilia me najua atadu one time
Yeye tu pekee anatupenda, za shetani zikikuja tunampa signal
Yesu akisema atatenda, vumilia me najua atadu one time
Yeye tu pekee anatupenda, za shetani zikikuja tunampa signal

Papa papa papa papa paaa... its only you its only dat di yout man call
Tukikwita wakuja faster na maombi unajibu, kila kitu ital
Me gwan Bless up all di likkle youts inadi street no defeat, Jesus a di King
He gat di key we nuh give up, hata ukikosa school fee itisha kwa magoti shule utarudi
Sina budi me nangoja tu arudi, tutaruka kwa mabaya hadi juu binguni yooh
Haijalishi umekosa nini, siko yako inakuja weka tumaini yeeeah

Yesu akisema atatenda, vumilia me najua atadu one time
Yeye tu pekee anatupenda, za shetani zikikuja tunampa signal
Yesu akisema atatenda, vumilia me najua atadu one time
Yeye tu pekee anatupenda, za shetani zikikuja tunampa signal

Now you afi take all di Glory fada you a di answer, wewe ndiwe baba hao wengine ni others
Unaponya cancer hata pia na ulcers, tegemeo letu wakiwa wa disaster na gangsters
Unawaokoa kwa sasa
Dem preachers sum a dem are just clear deceivers
We need you Holy spirit so dat you can redeem us forgive us our sins fada we a di sinners
When you talk about di money me a talk about Jesus Jesus
Na nikipotea kwa giza atanionyesha njia njia
Nanananana...

Yesu akisema atatenda, vumilia me najua atadu one time
Yeye tu pekee anatupenda, za shetani zikikuja tunampa signal
Yesu akisema atatenda, vumilia me najua atadu one time
Yeye tu pekee anatupenda, za shetani zikikuja tunampa signal

Credits
Writer(s): Tracey Awino, Havoc Musiq
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link