Wamocho

Genje streets si mnajua ni kuwamocho
Nikirao naraukia kuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho
Niko gwethe niko zanabe kana kana shi
Nimepandisia mbanati ju ni nganyare
Kuna vile nimekanafi nimembana shi
Mboto ni mbena sumbe na
fe juu niko na ki sshh
Sa ubaya ni njanamo eti renangwa
Makang'ethe na wanjanasu juu niko masii
Malego na mnganazii Sosi na Mercy
Nawateki hadi wanatii
Zikiwamocho kanga mpaka wanjivo
Mbogi yake ni kupach kama wagido
Genje streets si unajua ni kuwamocho
Nikirao naraukia kuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho
Wamocho riang ni kiwamocho
Niko masongi we tegea nijimess
Na kunyaku mi hurieng kujibless
Leo ngware mi hustaga na aref
Ka ibada wanatazama zikiarrest
Kwa marealer mi nitazirelease
Ju huwaga musema mayut walibreeze
Uwe roast like chaji kismart
Nikirun re nakuwaga shida na
Za punya mi husaka kwa giz
Toa chok ukizidigi kabisa
Dirty me siezi float
Mi hu-go deeper
(Kuwamocho mbogi ni kuwamocho)
Genje streets si mnajua ni kuwamocho
Nikirao naraukia kuwamocho
Wamocho riang nikuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho
Mbuku jo nimekula mbuku jo
System jo imeninyima kazi jo
Digrii yangu ni urembo jo
Mbogi jo inataka dishi jo
Inabidi tuwateke wamocho
Tupate ja machwara wamocho
Utanipata zabe kana she
Nikichora vile nitateka tu wathii
Niite mkulima na mimea
Mkurugezi wa kujipulizia
Kuwamocho ndio riba
Genje streets si mnajua ni kuwamocho
Nikirao naraukia kuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho
Racho bila nginyo ni kurianyu
Wolabed na 21 ka runa
Wairuwa kujirianyu na makugling
Mongreal moscow za kigangfa
Wavecro daila ngyai ni warena
Wolla kila yut tuko MG
Dormplay na machweng'a kila rengwa
Mbatcho ngwara chude ngenje
Chimling nawaflim ka aladin
Wedepo tuko depo wakiwamocho
Kianjete nauwo bree tukibambuka
Rakitich kuwadalo wakiwamocho
(Genje streets si manajua ni kuwamocho
Nikirao naraukia kuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho) ×2



Credits
Writer(s): Major Nameye Khadija, Antony Otiti Odhiambo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link