Mzuri

Wewe ni mzuri mzuri mzuri mzuri sana
Sisi tunakuabudu sisi tuna sisi tunakuabudu
Wewe ni mzuri mzuri mzuri mzuri sana
Sisi tunakuabudu sisi tuna sisi tunakuabudu

Nina haja nawe siku zangu zote yahwe
I need you now I need you now
Uwepo wako bwana na nguvu zako bwana
Zanipa furaha zinanipa raha
Nakosa neno la kutamka jinsi ulivyotukuka
Elishadai adonai

Wewe ni mzuri mzuri mzuri mzuri sana
Sisi tunakuabudu sisi tuna sisi tunakuabudu
Wewe ni mzuri mzuri mzuri mzuri sana
Sisi tunakuabudu sisi tuna sisi tunakuabudu

Ninaposhindwa ninaposongwa
Na maneno mabaya unanikumbatia unanipa faraja
Ninaposhindwa ninaposongwa
Na maneno mabaya unanikumbatia unanipa faraja

Napiga magoti namwita rafiki
Rafiki kwenye shida na raha shida na raha
Napiga magoti namwita rafiki
Rafiki kwenye shida na raha shida na raha

Wewe ni mzuri mzuri mzuri mzuri sana
Sisi tunakuabudu sisi tuna sisi tunakuabudu

Wewe ni mzuri mzuri mzuri mzuri sana
Sisi tunakuabudu sisi tuna sisi tunakuabudu

Tunakuabudu tunakuabudu uuu
Sisi tunakuabudu
Tunakuabudu tunakuabudu uuu uuu
Sisi tunakuabudu
Ha ha ha ha ha ha ha ha
Sisi tunakuabudu

Credits
Writer(s): Josiah Bussee
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link