Amenifanyia Amani

Amenifanyia Amani
Kaondoa Huzuni yangu
Kanifanyia Amani

Amenifanyia Amani
Kaondoa Huzuni yangu
Kanifanyia Amani

Nijapo pita kwenye bonde la Umauti
sitaogopa maana wewe uko nami
gongo lako na fimbo ya ko eebwana vyanifariji
umenifanyia amani



Credits
Writer(s): Donald Rwebangira
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link