Chukua

Kidawa kaja kwetu nimpe jogoo
Namuonea huruma bado mdogo
Hana uzito wa kubeba gogo
Analeta ubishi yani mzogo
Awawatibua waliolala (lala)
Aka katoto kana masihara (hara)
Jogoo anakiu wiki hajala (jala)
Anatania wanyoa vipara

Kidawa kaning'ang'ania ng'ania, hadi aende na kuku (hadi aende na kuku)
Anaonekana kapania pania, mbona kaja usiku

(Chukua)
Ukimuona (chukua)
Papasa hadi kwenye kona (chukua)
Ukimuona (chukua)
Tazama yule aliyenona (chukua)
Ukimuona (chukua)
Inama hadi uvunguni (chukua)
Eh, ukimuona (chukua)
Mpaka mabanda ya uhani

Kidawa hivi unajua kufuga, au unataka tu kumvuruga?
Na bibi yako kwa kupenda mboga, hatochelewa kumla na boga
Hodari wa kuamsha mornie (mapema)
Wakati bado yupo bandani (akihema)
Hajawai kufumwa ugoni (akadema)
Si umchunge wasije kumuiba?

Kidawa kaning'ang'ania ng'ania, hadi aende na kuku (hadi aende na kuku)
Anaonekana kapania pania, mbona kaja usiku

(Chukua)
Ukimuona (chukua)
Papasa hadi kwenye kona (chukua)
Ukimuona (chukua)
Tazama yule aliyenona (chukua)
Ukimuona (chukua)
Inama hadi uvunguni (chukua)
Eh, ukimuona (chukua)
Mpaka mabanda ya uhani

Ah-ah, usije ukafanya vimbwanga (ukaniletea utoto)
Aye (ukaniletea)
Ukampea mganga (ukaniletea utoto)
Awo, yeah (ukaniletea)
Mara kabebwa na kipanga (ukaniletea utoto)
Kato toto (ukaniletea)
Wakati kafungwa kanga (ukaniletea utoto)
Eeh (ukaniletea utoto)
Sitaki utani

(Chukua)
Ukimuona (chukua)
Papasa hadi kwenye kona (chukua)
Ukimuona (chukua)
Tazama yule aliyenona (chukua)
Ukimuona (chukua)
Inama hadi uvunguni (chukua)
Eh, ukimuona (chukua)
Mpaka mabanda ya uhani (chukua)



Credits
Writer(s): Debase Bella Enock
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link