Kaka Arudi

Yeah
(A-ayo Trone)
Yeah

Wanangu mtaani kutwa wanashindania pamba, nani anavaa kijanja
Wakijitupia chimbo Kariakoo utawasikia, "Ooh za kiwanja"
Ukiya-chek hata material, utayaona mmh! Yakishamba
Halafu bado wanatamba, kumbe bado wanatamba

Msiombe kaka arudi (iye, iye)
Msiombee kaka arudi
Msiombe kaka arudi (iye)
Msiombe kaka arudi

Yeah, nyie ngojeni kaka arudi ndo' mtashika adabu (shika adabu)
Nyie ngojeni kaka arudi, ndo' mtapata tabu (pata tabu)
Nyie ngojeni kaka arudi alafu tukutane club (tukutane club)
Nyie ngojeni kaka arudi, arudi, ah

Ma'na nimeagiza vitu vya kutosha
Vitu kama saa, cheni, sio vya kukosa (whoa)
Mtoto mtaani hutonitosa
Ma'na sio pamba nakuja na Verossa (whoa)

Pamba kali hamjui nyi'
Pradda, Gucci au Louis V
Mnavijua leo its not new to me
Everything is not new to me

Like, "Whoa" yeah
Msiombe kaka arudi, msiombe kaka arudi
Yeah, msiombe kaka arudi, msiombe kaka arudi

Msiombe kaka arudi (iye, iye)
Msiombee kaka arudi
Msiombe kaka arudi (iye)
Msiombe kaka arudi, ah

Ukiona nimepoa ujue kaka katia maguu, guu, guu, guu
Si' unaona pamba, izi ndo pamba za majuu, juu, juu, juu
Cheki chini bonge la guu, guu, sneaker flani white tupu
Sio zile zenu week moja mkivaaga ni uchafu mtupu

And the good news, I got new iPhone
Nina mzuka, o-o-ii Saigon
Si' mnasikia hata my tone
I feel like kama niko Ma-mtoni

Pamba kali hamjui nyi'
Pradda, Gucci au Louis V
Mnavijua leo its not new to me
Everything is not new to me

Like, "Whoa" yeah
Msiombe kaka arudi, msiombe kaka arudi
Yeah, msiombe kaka arudi, msiombe kaka arudi

Msiombe kaka arudi (iye, iye)
Msiombee kaka arudi
Msiombe kaka arudi (iye)
Msiombe kaka arudi

Yeah



Credits
Writer(s): I.a. Mandingo, Ibrahim Ayoub Mandingo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link