Pamela

Kwanza kako sexy (Pamela)
Kiuno kama kazaliwa Congo
Ebu ni ka date (Pamela)
Mikogo kama samaki kamongo

Chumbani ni karate (Pamela)
Vurugu kama show za Manfongo
Navopenda deki (Pamela)
Ulimi shingoni mpaka kwa mgongo

(Eeeh) Katoto katamu tamu
Kanapenda pipi na chewing gum (Anhaa!)
Kimoko nacum cum
Kitanda kwichikwichi
Ni Bum Bum (Anhaa!)

Eeh!
Oh najua maana ya penzi burudani
Na ndio maana nakupa kokote
Singoji mpaka kitandani
Aaaah yeah! (Pamela)
Oooh! Oh! Oh! (Pamela)

She is hotter than fire (Pamela)
Ukimuona utagwaya (Pamela)
Zigo lazima ntafire (Pamela)
Na kapenda ile mbaya (Pamela)

Aiiiy!!
Eeh my heart ooh!
She de skata my heart ooh! (Pamela)
Eeh my heart ooh!
Kanaumiza my heart ooh!

Eeh my heart ooh!
She de skata my heart ooh!
Pamela!
Eeh my heart ooh!
Kanaumiza my heart ooh!

Nilikutana nako Mbagala
Kwa kina Lufufu Mkandala
Mtoto mwali kidandala
Mtamu kwa nguna na sangala
Ooooh naa!

Anavyopose mchokozi
Nikiwa namwaga dose
Napocheza na ngozi
Hunikosi (Pamela)

Mpaka majonzi kwa njozi
Utamu kwa utosi
Sinaga ubitozi
Ni konzi (Pamela)

Oh najua maana ya penzi burudani (Ooh! oh!)
Na ndio maana nakupa kokote
Singoji mpaka kitandani
Eeeeh yeah!
Pamela! (Pamelaa)
Oooh! Oh! Oh! (Pamela)

She is hotter than fire (Pamela)
Ukimuona utagwaya (Pamela)
Zigo lazima ntafire (Pamela)
Ooh nakapenda ile mbaya (Pamela)

Huh!
Mwenye mdomo wa kulamba koni
Napozi za picha
Na moyoni nimekuficha
Picha ya mapicha picha
Wazushi wanayonipa nipa
Hayaumizi kichwa kichwa

Wala kunitisha
Usije nikatisha mood (Mood)
Kwa kufanya kusudi (Kusudi)
Ukaanza tena usiku na mchana
Ma nenda rudi (Rudi mama)

Kifuani sita, tumbo hauna
Na ukikatika
Ndio kabisa Naumwa (Heheheh)
Njoo tucheze kibaku baku (Pamela)

Tuwakomeshe manyaku nyaku (Pamela)
Ukate taratibu yani nyatu nyatu (Pamela)
Kitandani unimeze ile kichatu chatu
Sikufichi namiss kumuchezo kako kila mara



Credits
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Eriki Msodoki
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link