Hainishtui

Gang Gang
Genge la Boondoksi
Ka-Kansoul

Kigotho tiga kurira
Madathi ti maheu
Na waria ni ukuharuo
Wee weee

Sadafah

Kigotho tiga kurira
Madathi ti maheu
Na waria ni ukuharuo
Wee weee (Taniua)

Ka unapenda kureadana (Hainishtui)
Unaulizwa ka utawezana (Hainishtui)
Ka unapenda kunyonga sana (Hainishtui)
Na hupendagi wasichana (Hainishtui)

Ati we ni kichwa mbaya (Hainishtui)
Na ati leo unataka dawa (Hainishtui)
Unapenda umama sana (Hainishtui)
Na haupendagi wasichana (Hainishtui)

Hainishtui lakini nimeshtuka
We ni mwanaume umewekwa umefugwa
Haunishtui na hio gari ya daddie
Haunishtui na hio pesa ya mammie

Toka hapa, toka nani
Unaturingia vile umeomoka
Ju ulitoka Kayole siku hizi unaishi Umoja
Hautushtui toa ufala hapa

Nakuoshea dem yako mi ndio mopstick
Haikosi pia nyi mnanicopy
Ju leo zikiisha mi ndio choki
Na we ndo chali ama we ni ka dem
Chunga dem yako mi nitakabeng
Abiro chwade mi ndio matek
Mpek mpek ndo usimwage mate
Cheng cheng ndo asikule kake

Kigotho tiga kurira
Madathi ti maheu
Na waria ni ukuharuo
Wee weee (Taniua)

Ka unapenda kureandana (Hainishtui)
Unaulizwa ka utawezana (Hainishtui)
Ka unapenda kunyonga sana (Hainishtui)
Na hupendagi wasichana (Hainishtui)

Ati we ni kichwa mbaya (Hainishtui)
Na ati leo unataka dawa (Hainishtui)
Unapenda umama sana (Hainishtui)
Na haupendagi wasichana (Hainishtui)

I'm a jabba man na siwezi katema
Kashada na ka glass ka kupima
Fix your make up hater panguza kimira
See you later, we si mzing we si king

Ata ka ni kukaza usikaze kunyi
We ni mtaro nilizama usikuje 2 weeks
Na wao hunijudge tu sana na hawalipwi
Na mangeus wao be like Odi nadai miti

Vitisho hainishtui (Uwii)
Buda utajua haujui (Uwii)
Ah kila mtu anakujua kama choo ya gava
Mbogi yako inakaa fruity sana
Na wonder manzi yako ananivutianga
Adress mi vile una-adress your father

Kigotho tiga kurira
Madathi ti maheu
Na waria ni ukuharuo
Wee weee (Taniua)

Ka unapenda kureandana (Hainishtui)
Unaulizwa ka utawezana (Hainishtui)
Ka unapenda kunyonga sana (Hainishtui)
Na hupendagi wasichana (Hainishtui)

Ati we ni kichwa mbaya (Hainishtui)
Na ati leo unataka dawa (Hainishtui)
Unapenda umama sana (Hainishtui)
Na haupendagi wasichana (Hainishtui)

Mkuruweng kalibonywa na matire za mafinje
Sinyor Chicken Inn kako in de
Kamepatana na sponyo kako njite
Mission Mr kametekwa Kite

Top 10 kalivuka side za continent
Meza mbili mbili ni ma supplement
Kameomoka kalipatch ndio ni marinate
Niko ngiri ngiri hii ni monument

Kigotho tiga kurira
Madathi ti maheu
Na waria ni ukuharuo
Wee weee (Taniua)

Ka unapenda kureandana (Hainishtui)
Unaulizwa ka utawezana (Hainishtui)
Ka unapenda kunyonga sana (Hainishtui)
Na hupendagi wasichana (Hainishtui)

Ati we ni kichwa mbaya (Hainishtui)
Na ati leo unataka dawa (Hainishtui)
Unapenda umama sana (Hainishtui)
Na haupendagi wasichana (Hainishtui)

Tumebeba usinibebe ufalala la
Tumebeba usinibebe ufalala la
Tumebeba usinibebe ufalala la
Lala la la la la

Tumebeba usinibebe ufalala la
Tumebeba usinibebe ufalala la
Tumebeba usinibebe ufalala la
Lala la la la la



Credits
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link