Magubegube

Ma-ma-ma-magubegube (Tudy Thomas), magumegume
(Ma-ma-ma) magubegube (ma-ma-ma)
Ma-ma-ma-magubegube (ma-ma-ma-magume, gume...), magumegume
Magubegube (ma-ma-ma-ma)

Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube)
Unaweza ukampiga mpaka ukaua na
Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume)
Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie

Ah, juzi juzi nilizungumza na jirani yangu
Ah, nikamuuliza, "Vipi kuhusu shemeji yangu?"
Alichonijibu kibaya, sikutegemea kabisa
"Shemeji yako mbaya kwanza usiku halali kabisa"

Ah, juzi juzi tena nilizungumza na mama mwenye nyumba yangu
Ah, nikamuuliza, "Vipi kuhusu ile kodi yangu?"
Alichonijibu kibaya, sikutegemea kabisa
Kama naitaji kuendelea, basi mwili wangu lazima nani nimpe

Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube)
Unaweza ukampiga mpaka ukaua na
Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume)
Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie

Mapenzi yamekuwa uongo, yamekuwa uongo
Yanachanganya sana ubongo, unaweza uka-paralyze
Na wapenzi wamekuwa waongo, wamekuwa waongo
Unazama leo kesho longolongo, swali na jibu kamwe halikowazi

Ah, juzi juzi nilizungumza na teacher wangu
Ah, nikamuuliza, "Vipi kuhusu majibu yangu?"
Alichonijibu kibaya, sikutegemea kabisa
Kama naitaji kupita, basi lazima kidogo dogo nanikupaga

Ma-ma-ma-ma
Ma-ma-ma-ma
Ma-ma, basi lazima kidogo dogo nanikupaga

Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube)
Unaweza ukampiga mpaka ukaua na
Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume)
Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie (we, we)

Hivi ni shida au tamaa zinazowaleta
Au shilingi inaleta balaa, ma-ma (magumegume)
Usiombe ung'oe (magubegube), wanamambo (magumegume)
Unaweza ukapigwa mpaka, mpaka ukaimba na

Hivi ni shida au tamaa, eh (magumegume)
Au shilingi (magubegube) inawakusanya na kuwajaza (magumegume)
Unaweza ukapiga mpaka, mpaka ukachoka wewe, eh, eh, hey
Mpaka ukachoka wewe

Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube)
Unaweza ukampiga mpaka ukaua (mama)
Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume)
Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie (wewe)

Ma-ma-ma-magubegube (ma-ma-ma-magume, gume...), magumegume
Magubegube (magumegume)
Ma-ma-ma-magubegube (ma-ma-ma-magume, gume...), magumegume
Magubegube (gume, gume, gume, gume)

Credits
Writer(s): Elias Barnabas
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link