Bonge La Toto

Okey uh, toto shape toto guu guu Kila
unapopita watu macho juu juu Baby ka umebeba kichuguu
Alafu chuchu ndogo kama vichuguu

Haha, enjoy kuwa na mimi ma Mwili wako
nifunike na madini ma Safari ya angani na majini ma
Mi ndio king we ndio queen ma

Have it baby pie, my baby bi millionare
Vikao vyangu mawaziri na ma mayor
Zinaletwa ndoa mmezifill ma
Bellaire Matumizi bei juu na bill tunagombea

Shoga zako unawatesa Hawapendi kukuona na Shetta
Tunavyozitumia pesa Enjoy baby wala wasikupe pressure

Okey, bonge la toto mama
Wanipa vyote we ni bonge la toto mama
Chii, bonge la toto mama Nakupenda zaidi, we ni bonge la toto mama

Mami mi ni billionaire Nifilisi hadi nirudi kwenye u millionaire
Tafuta ki ben 10 ukihonge Ila nikikifuma aisee kisiombe

Jua nakuzimia ma
Nataka tuzunguke hii dunia ma Pesa kuzitumia ma
Tusisahau Serengeti
Tanzania ma

Tukacheki nyati na swara
Pesa nyingi baby wala sipati hasara Ikibidi
ita na wenzako Maana huwezi kumaliza peke yako

Shoga zako unawatesa Hawapendi kukuona na Shetta
Tunavyozitumia pesa Enjoy baby wala wasikupe pressure

Okey, bonge la toto mama Wanipa vyote we ni bonge la toto mama
Chii, bonge la toto mama Nakupenda zaidi, we ni bonge la toto mama

Bonge la toto mama
We ni bonge la toto mama
Bonge la toto mama
We ni bonge la toto mama.



Credits
Writer(s): Nurdin Bilal
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link