Watoto (feat. Harmonize)

Konde boy na Wizzy, iih
Yeah Country Wizzy ah
Konde boy na Wizzy, iih
Yeah Country Wizzy ah

Its s2kizzy beiby
Yao yao
Country Wizzy again, iih
Na Konde boy

Kama una mtoto wako njoo naye
Usije ukazubaa baadaye
Niko na bunduki mi na roll naye
Tuna roll up, roll up, roll up, yeah

Naona ashaanza waka waka
Na mtoto anavyo kata kata
Itakuwaje akimkamata mata
Nitamchakaza chaka chaka

Nangoja muda ufike twende ndani (ayayayaya)
Kwenye bonge la uwanja kitandani (ayayayaya)
Nikuonyeshe vile mi hufanya mami
Sinanga utani, utani, utani, utani

Kuna watoto wakali ooh
Kali oooh, kali ooh, kali ooh
Nyuma wana makalio
Kali oooh, kali ooh, kali ooh (iiih)

Temeke na kinondoni (haya)
Ilala manzese na mwananyamala mala
Huku viatu vipo mfukoni (haya)
Napigaga peku yaan bila hata ndala ndala

Nawaskia machizi wanaunda kamati
Wanadata na viuno na hilo body body
Inabidi nijiongeze niwe big daddy
Yes I am a big daddy and am a move daddy

(Woooh)
Mama wewe ni fire yo
Umekusanya kama kwaya yo
We ni number one desire girl
Kwenye michezo we ni mbaya yo

Nangoja muda ufike twende ndani (ayayayaya)
Kwenye bonge la uwanja kitandani (ayayayaya)
Nikuonyeshe vile mi hufanya mami
Sinanga utani, utani, utani, utani

Ooh beiby,
Katika piga magoti, piga magoti
Acha wanaopiga majungu
Asa namwaga manoti, namwaga manoti
Maana nisha hongwa na mzungu

Ona kapandisha uchizi hivyo
Kabinuka kama mbuzi kashikwa mapembe
Hasira za mkizi hizo
Furaha kwa mvuvi, kijino pembe

Tuna watoto wakali ooh
Kali oooh, kali ooh, kali ooh
Nyuma wana makalio
Kali oooh, kali ooh, kali ooh (iiih)

Temeke na kinondoni (haya)
Ilala manzese na mwananyamala mala
Huki mi viatu vipo mfukoni (haya)
Nnapigaga peku ya mipira tandala ndala

Its S2kizzy beiby

Konde boy na Wizzy, iih
Yeah Country Wizzy ah
Konde boy na Wizzy, iih
Yeah Country Wizzy ah



Credits
Writer(s): Rajab Abdul Kahali, Salmin Kasimu Maengo, Ibrahim Ayoub Mandingo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link