Wanaona Haya (feat. Khaligraph Jones)
Yeah
Switch
Yule Boy
S2Kizzy Baby
I gatchu
Ah, naifanya game navyotaka
Hatukalishi tunalaza
Hivi we una pumzi brother
Ushapataga mamikwanja kibao
Kupata moja ndo unawaza mandoja
Inakuaje mwana hatupatani
Domo kaya kaiwasha nani
Kimenuka pande zote mzee
Sio hapa mpaka nchi za jirani
Mana harufu haijulikani
I smell mmhff mmhff money money
Kama sio mimi K dad
We unadhani angeweza nani?
Zile bang bang au boom pack
Nazimurder murder anytime like eeeh
Natamani ningekupa kichwa changu
Ila akili yako haijabalehe
Nishakua mtu mzima staki mambo ya beef wache watoto waendelee
Hizi level hawatuwezi si masoldjier
Knock knock mpaka ulegee
Kuna funny story I got
It does'nt mean to offend nobody
Si kuna kadem kalitaka penzi
Na kakanihonga na forget
Sijui kaliniona cheap
Au kalinidharau
Ila najua alichokipata
Hawezi kuja kusahau
Maninja huwaga hatuongeiongei
Mikausho mikali kibubu
Ukiona mademu wanadangadanga
Ujue wana damu ya dudu eeh
Middle finger iende kwa wambea
Wote wanaotaka mi nitubu
Bado sana mtaniskia sana
Na nazidi leta mavurugu
Rooftop you know what I mean
Yani level zetu ziko juu juu
Yani level ziko juu juu eeh
Kaa mbali we zuzu eeh
Tell me what you see
When you look at me aah
Tell me what you see
When you look at me aah
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Ukinicheki unacheki nini
Nikikucheki nacheki ni chuki tu
Cheza chini au utachapwa chupa
Juu ukichoma picha na hatuchezi dude
Jebu kati akichora vaku
Tutamkuta kwake tumuache kiwete
Muchanganya chocha ka sukari kwa chai na chanda chema sikivishi pete
Niite Kikwete wa kuchanachana
Na ndo sana sana mi huwajaza wivu
Nipo kidete kufanya drama
Na shughuli za mchana mi huzifanya usiku
Simba wa Yuda amefika mjini
So we fala unaweza nambia nini
Unataka kuona kama niko chini
Basi samaki atarudi nyuma lini
Hii hustle naitunza utadhani dini
Itaninunulia nyumba na lamborghini
Ila wataka kuona mimi masikini
Ila wataka kuona mimi masikini
Wanaconfuse confidence na ego
In my country nini au guess
Some even think that am evil
Juzi nkatumia jeneza kwa show wakadai hiyo move ni illegal
But forever I rebel and know that I do
I do it for my people
Wanaona haya tupo on fire
All the glory I give to Messiah
Wanaona haya tupo on fire
Na hakuna siku mi nitaretire
Tell me what you see
When you look at me aah
Tell me what you see
When you look at me aah
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Hahaaa Yeaaah
S2Kizzy Wassup ma nigga
I told ya (wanaona haya hao)
It is what it is ma nigga
Am tellin ya (wanaona haya hao)
Yule Boy Gaddaffi
Too real safi
Yeah
Toja waddup
Daddy Yoo
Switch
Yule Boy
S2Kizzy Baby
I gatchu
Ah, naifanya game navyotaka
Hatukalishi tunalaza
Hivi we una pumzi brother
Ushapataga mamikwanja kibao
Kupata moja ndo unawaza mandoja
Inakuaje mwana hatupatani
Domo kaya kaiwasha nani
Kimenuka pande zote mzee
Sio hapa mpaka nchi za jirani
Mana harufu haijulikani
I smell mmhff mmhff money money
Kama sio mimi K dad
We unadhani angeweza nani?
Zile bang bang au boom pack
Nazimurder murder anytime like eeeh
Natamani ningekupa kichwa changu
Ila akili yako haijabalehe
Nishakua mtu mzima staki mambo ya beef wache watoto waendelee
Hizi level hawatuwezi si masoldjier
Knock knock mpaka ulegee
Kuna funny story I got
It does'nt mean to offend nobody
Si kuna kadem kalitaka penzi
Na kakanihonga na forget
Sijui kaliniona cheap
Au kalinidharau
Ila najua alichokipata
Hawezi kuja kusahau
Maninja huwaga hatuongeiongei
Mikausho mikali kibubu
Ukiona mademu wanadangadanga
Ujue wana damu ya dudu eeh
Middle finger iende kwa wambea
Wote wanaotaka mi nitubu
Bado sana mtaniskia sana
Na nazidi leta mavurugu
Rooftop you know what I mean
Yani level zetu ziko juu juu
Yani level ziko juu juu eeh
Kaa mbali we zuzu eeh
Tell me what you see
When you look at me aah
Tell me what you see
When you look at me aah
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Ukinicheki unacheki nini
Nikikucheki nacheki ni chuki tu
Cheza chini au utachapwa chupa
Juu ukichoma picha na hatuchezi dude
Jebu kati akichora vaku
Tutamkuta kwake tumuache kiwete
Muchanganya chocha ka sukari kwa chai na chanda chema sikivishi pete
Niite Kikwete wa kuchanachana
Na ndo sana sana mi huwajaza wivu
Nipo kidete kufanya drama
Na shughuli za mchana mi huzifanya usiku
Simba wa Yuda amefika mjini
So we fala unaweza nambia nini
Unataka kuona kama niko chini
Basi samaki atarudi nyuma lini
Hii hustle naitunza utadhani dini
Itaninunulia nyumba na lamborghini
Ila wataka kuona mimi masikini
Ila wataka kuona mimi masikini
Wanaconfuse confidence na ego
In my country nini au guess
Some even think that am evil
Juzi nkatumia jeneza kwa show wakadai hiyo move ni illegal
But forever I rebel and know that I do
I do it for my people
Wanaona haya tupo on fire
All the glory I give to Messiah
Wanaona haya tupo on fire
Na hakuna siku mi nitaretire
Tell me what you see
When you look at me aah
Tell me what you see
When you look at me aah
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Tell me what you see (wanaona haya)
Hahaaa Yeaaah
S2Kizzy Wassup ma nigga
I told ya (wanaona haya hao)
It is what it is ma nigga
Am tellin ya (wanaona haya hao)
Yule Boy Gaddaffi
Too real safi
Yeah
Toja waddup
Daddy Yoo
Credits
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Ibrahim Ayoub Mandingo, Brian Robert Ouko
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.