Sikinai

Kama kinda nimetulizana
Kwenye kiota changu
Tena sina mawenge nipe ubawa wako ndo shuka yangu
Kama pombe mwenzako mi umenilewesha sembe so dengu
Tena bonge la boya mi nimefika makoko matandu
Sina mapepe ya mbuzi macho mbele nyuma.
Nina utulivu wa kondoo mwendo nainama eeeh
Sina tamaa za jogoo kutaka kila tembe niwe nae
Wivu ni donda la roho shida uko likizo
Nyama ya kangaroo
Ukinipanala sikinai kushiba sawa
Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba na
(Kangaroo) ukinipanala sikinai kushiba sawa
Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba
Wakikutia doa nitakupa jiki Mami
Bado nipo nawe hadhira kwa fanai
Wakikutia doa nitakupa jiki Mami
Bado nipo nawe hadhira kwa fanai
Kwanza unanipetipeti mapenzi ya tanga (ahe)
Kwenye bedi sichoki unavyonikanda
We ndo tanga namimi mlingoti
Nifunge na kanga
Nishitue kijoti usijeleta janga
Naona baridi lanisaka ma we ndo koti koti
Kwenye yetu ligi ooh tukikutana unanikochi kochi
mami mami mami ooh unanikosha mwenzio kwenye
love unaongeza malavu unafanya nadata mwenzio
mami mami mami ooh
Unanikosha mwenzio ukishika ndevu
ukitomasa mbavu unafanya nacheka mwenzio
Nyama ya kangaroo ukinipanala sikinai kushiba sawa
Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba na
(Kangaroo) ukinipanala sikinai kushiba sawa
Nini ooh samaki ngalala nikaji choma mwiba
Wakikutia doa nitakupa jiki Mami
Bado nipo nawe hadhira kwa fanai
Wakikutia doa nitakupa jiki Mami
Bado nipo nawe hadhira kwa fanai
Wikiendi twende wapi chagua nakupa nafasi
gari au tupande farasi cheers tugonge glass
Wikiendi twende wapi chagua nakupa nafasi
gari au tupande farasi cheers tugonge glass



Credits
Writer(s): Bakari Katuti
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link